JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
7 Reactions
24 Replies
1K Views
African Countries With the Most Beautiful Women Which African country has the most beautiful women?. Here is the list ranking of the top 20 Counties in Africa with the most beautiful ladies in...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho. Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jk kila aendako anabeba kiti na kuzunguka nacho, hakalii kiti kingine. Je hicho kiti kina nini spesho? Kwanini hataki kukalia viti vingine?
3 Reactions
112 Replies
15K Views
Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi. Hamna period wala kuzaa yayyy! Wewe je?
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna mambo mengi sana ambayo nimegundua kuwa si kweli, bali ni uwongo na wanadamu huamini ni ukweli. 1. Jua limesimama wakati linazunguka. 2. Ndege kutumia mafuta: Ndege hutumia...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Hali zanu wakuu? Leo nimekumbuka kitu cha ajabu kidogo, ma Don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Inakuwaje wanajamvi! Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure...
15 Reactions
40 Replies
5K Views
Ukitaka kuoa kwa kuzingatia taaluma ya mtu ungependa kumuoa nani?
2 Reactions
17 Replies
650 Views
Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa. Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi? 1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio...
30 Reactions
152 Replies
29K Views
Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
5 Reactions
70 Replies
7K Views
Kuna hawa wanawake hawashawishiki hususani pisi kali, kama wamekaza msamba kaa nao mbali. Kuwalazimisha unashusha 'brand' ya familia yako. Kuwa makini usije potea njia ukakutana na ngumi mchomoko...
1 Reactions
6 Replies
945 Views
Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari. Kuna mwamba mmoja TikTok anaitwa Godfather, ana kauli mbiu yake moja ya "Vijana tafuteni hela". Kiuhalisia mimi kwa upande wangu naona anachoongea ni kweli, sema changamoto ni kwenye...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe...
0 Reactions
6 Replies
611 Views
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.' SOMO...
8 Reactions
1 Replies
654 Views
Habari wana MMU? Nikastory kafupi tu kiukweli. Sijawahi kumkula Mwarabu, ila leo nimekutana na Mwarabu, mtoto whiteeee [emoji847][emoji847] kwenye bus na nikaanza kumpigisha story anachekacheka...
1 Reactions
7 Replies
880 Views
Hapo vipi!! Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi siyo muuminu wake, wala siyo mfuasi wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
"Hawa wawili wameingiza goli mbili lakini kwa mbinde sana" Dah nimecheka sana!
2 Reactions
2 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…