JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hadi masomoni?
0 Reactions
3 Replies
495 Views
Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri...
12 Reactions
84 Replies
7K Views
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe. Nimpigie simu usiku...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake Mi naanza na; 1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa. 2. 3. 4. 5. 6.Nakuendelea.... Kupopolewa ruksa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwanaume_ni_nani...!!!? 1 Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!! 2 Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia...
0 Reactions
4 Replies
708 Views
Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Hakuna kitu kinakera kwenye Maisha kama Kijana kutumia ujuzi mdogo ulionao kwenye Jambo fulani KUTAPELIII vijana wenzako wanaotafuta pesa zao kwa jasho au pengine kupewa na familia zao..!! Kuna...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka ya 80-90 kulikuwa na jamaa mmoja mitaa ya Manzese na Magomeni alikuwa anaitwa Cool 9. Huyu bwana alikuwa ni maarufu sana Dar es salaam na chanzo cha umaarufu wake ni kwamba huyu jamaa...
1 Reactions
176 Replies
24K Views
*Msichana Wa Kizungu Akitaka Penzi Atakutizama Kwa Mahaba, Atakusogelea, Atakukiss Then Atakwambia* *_"Let's Do It"_* *Msichana Wa Kiafrika zaidi wa Kitanzania; Akitaka Penzi Atakuuliza* *_"Sasa...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174] mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tu
28 Reactions
543 Replies
35K Views
Wanajamvi! Leo nimelala zangu magetoni mara nasikia mbususu inajiongelesha karibu na dirishani kwangu, tena sauti ya pili iko juu kiasi, nasikia anayoongea side B. Sasa kituko nikasikia mbususu...
3 Reactions
7 Replies
674 Views
Watu wa JF wazima? Tuambie hili tujue unachangia mada fulani kisa nani anachangia maoni? Mimi nikiona inawachangiaji wengi ndiyo nachangia.
1 Reactions
6 Replies
601 Views
Kwanini mahusiano mengi huvunjika bila sababu? Mke wangu amekuwa ana dharau sana siku hizi, naombeni ushauri.
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Acha tupime akili za watu.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Eti, pesa inamaliza matatizo au matatizo yanamaliza pesa? Nipeni muongozo.
1 Reactions
3 Replies
726 Views
Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
7 Reactions
24 Replies
1K Views
African Countries With the Most Beautiful Women Which African country has the most beautiful women?. Here is the list ranking of the top 20 Counties in Africa with the most beautiful ladies in...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho. Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…