Njoo ujishaue kama upo hivi,
~ Mwanamke usiyeomba hela.
~ Njoo mwanamke unayependa na kula utakavyo kwa pesa yako bila kuhongwa wala kubegi mtu.
~ Njoo kama ni mwanamke anayefanya juhudi...
Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin...
Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani.
Majobless inatuhusu pia kujua nini kinaendelea duniani. Kujua tu inatosha.
Sasa kwenye mada moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Haki au...
Jamani walimwengu wabaya,dunia mbaya.jana niligeuka kenge kwa muda usiojulikana baada yakulala na mkewa mtu. Sasa iliishia nipo juu ya meza na type uzi humu JF na ukizingatia mkono ulikuwa mnene...
Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na...
Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuzi jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao, barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta huko huko aliko.
Kila Mara kwenye...
Napenda kutoa salam kwa ndugu zangu humu jukwaani vijana kwa watu wazima.
Moja kwa moja kwenye mada...Maisha yana Mapito mengi sana.
Lakini Mimi nitawaletea vituko, nilivyowahi kuvifanya...
Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia...
Sikuzote hawa wenzetu huongea kinyume, ukikutamkia anakupenda jua hupendwi,akikutamkia hakupendi jua unapendwa.
Jitahid umakinike na matendo yake na sio maneno yake wanaume weng mmeingia kwenye...
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni.
Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua...
mahondaw when i think of you... I long to feel your touch, am whispering in your ears, words are old as time, words only you hear because are mine...
mahondaw remember the very first day i...
Diagnosis iko hivi;
Stress level iko juu
Wana msongo mkubwa wa mawazo
Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and
Kujinyonga ni most natural and probable consequence.
Mungu awafanyie wepesi.
Nchi ngumu sana, kwasababu kama tatizo dogo la mfumo wa umeme limeshindikana kabisa je, hiyo treni ya umeme usalama wa abiria utakuwaje?
Ni maswali tunapaswa kujiuliza kwa upana zaidi na sio...
Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi...
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to the perverts who thought otherwise:confused:)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo...