JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
......... Utampata pale ulipopaki gari yako! Msituchoshe.
3 Reactions
9 Replies
349 Views
Hellow Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwalimu gani enzi hizo ukiwa shule alikufanya ukaipenda shule au somo fulani? Mtaje hapa
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Hadithi ya kuvutia sana Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri. Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza. Mteja...
1 Reactions
0 Replies
543 Views
Mfano : Mimi ndiye niliweka mchanga kwenye firigisi za kuku.
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
As per attached pls help m
4 Reactions
5 Replies
502 Views
3 Reactions
4 Replies
687 Views
Kuna huyu aliyesema; " I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
0 Reactions
4 Replies
455 Views
Hadithi ya kuvutia sana. Soma mpaka mwisho, utajifunza kutunza siri. Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza. Mteja...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Nimelishuhidia zaidi ya mara moja katika sehemu tofauti! Kipande kimoja cha sabuni kinatumika kwa matumizi zaidi ya moja: 1. Kuoshea vyombo vya kupikia 2. Kuoshea vyombo vya chakula 3. Kuoshea...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii. Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi...
6 Reactions
16 Replies
625 Views
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo. Nguo zakulalia tena?
31 Reactions
117 Replies
3K Views
Sasa jamani ndio kila kitu tubeti jamani?😆
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Eti, Mwanaume kamili anatakiwa kuwa na Sifa zipi ? Changia maoni kwa utulivu wa akili
0 Reactions
8 Replies
503 Views
Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
0 Reactions
4 Replies
572 Views
Haha itikia sasa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
7 Reactions
15 Replies
869 Views
Bila hofu yoyote mtakua fresh nyote ambaye hayuko poa pole yake tuambie ni mkoa gani ambao una ongoza kuwa na watoto wakali a.k.a wazuri (warembo)? Hapa Tanzania Karibuni sana
2 Reactions
205 Replies
50K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…