JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekukumbuka sana mpenzi mara ya mwisho niliku-pm miezi kadhaa iliyopita.Msg yako moja tu ilinipa raha ya ajabu.Kama upo naomba tujisosomole hapa uwanjani.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
hivi kaka yako akiwa ameoa si unasema, kaka yangu ana mke,,,, je kaka zako wote wakioa utasemaje???
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MUNGU akulinde LEO na KESHO,Upendwe kama NYERERE,uishi maisha marefu kama bi kidude,usipoteze umaarufu kama Mandela,uwe jasiri kama Z.kabwe, upate safari nyingi kama Kikwete, usiwe na hila kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu. Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama...
0 Reactions
97 Replies
10K Views
Wadau hivi zile nafasi za kazi zilizotangazwa na Pspf mwezi uliopita haijaanza kuitwa watu kwa ajili ya ile interview yao ya kizushi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A huge muscular man walks into a bar and orders a beer. The bartender hands him the beer and says, "You know, I'm not gay but I want to compliment you on your physique, it really is phenomenal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis.. Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro...
9 Reactions
286 Replies
15K Views
jamani,najua great thinkers wengi mmeishi maeneo mbali mbali na mikoa tofauti tofauti,sasa ebu tuambizane ni mkoa gani unaongoza kwa kunywa pombe za KIENYEJI na INAITWAJE?? mimi binafsi naona MKOA...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
(Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote atakaye guswa na hili tunahitaji mchango wake wa hali na mali,Mimi ni mfugaji wa Nyani,lakini kwa bahati mbaya Mama yake nyani ninye Mfuga amefariki usiku huu,so tunaomba mchango wenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndani ya meli,wa2 makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele, Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vichaa walikuwa wanahamishwa hosptl 1 had nyingine kwa usafir wa ndege mazungumzo kat ya ruban na kichaa 1 KICHAA :naomba niendeshe RUBAN: huwez we c unaumwa KICHAA: nimepona RUBAN: nakupa kaz...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kata moja huko mbeya, diwani mmoja aliitisha mkutano kwaajil ya kuchangishana pesa ili kujenga ukuta wa makaburi sasa diwan akatoa wazo kuwa kila mwananch atoe sh15000 sasa akauliza je kuna...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
MISEMO YA USWAHILINI KWETU HUKU.... Lakini tambua yakuwa....... 1.hata uwe shabiki wa Diamond kias gani huwezi kukubali kuwa na Domo kama Lake... 2. Ushuzi ndio Gesi original ya Mtwara...
0 Reactions
2 Replies
22K Views
Habari wana JF. Nimeamua kukupa faida katika matumizi yako ya JF jokes. Hizi ni namba unazoweza kupiga na utaona faida baada ya kupokelewa. *141*1000*0773965788# *141*1500*0777430009#...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
*wazo la leo* kuzaiiwa na govi ni mipango ya mungu ila kuzeeka nalo ni uzembe wako!! (Mchana mwema)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwalim: Issa utaniambia leo huyo Asha unauhusiano gani naye? Issa : Ah Asha mimi ni kama demu wangu tu kinaaa hapa shule ni mwanafunzi mwenzangu mwalim; Eboo! wewe usililetee mambo ya kijinga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa site pamoja na wafanyakazi wenzangu katika kampuni moja ya kichina inayojishughulisha na ujenzi wa barabara. Siku hiyo kulikuwa na shughuli inayo involve cement kuchanganywa na...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Mume: Hello baby! Mke: Hello sweety. Mume: Nitachelewa kurudi leo. Mke: Nishakujua uko kwa wanawake wako! Jianaume lihuni kama nini! Sijui ilikuaje nikakubali unioe! Nakuchukia kama nini...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari yake.Njiani gari ikaharibika,akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria,akajua lazima...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…