JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi ni mfanyakazi mwajiriwa katika shirika moja la umoja wa mataifa. Nilikuwa naamini kuwa nikiwa line manager nitakuwa na furaha kubwa sana maishani mwangu. Mungu mkubwa nafasi ya line manager...
4 Reactions
139 Replies
27K Views
Habari zenu bandugu Nafurahi kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vyema nashughuli zenu, Leo nimeonelea niwaletee waimbaji watakao kuwepo katika Tamasha la Usiku wa Furaha wa KiCHITCHAT...
16 Reactions
255 Replies
18K Views
Unakutana na mtu anakuuliza.....hivi bado upo.....?.....swali gani hili.....kama nimekufa si ungesikia.......au labda kazoea kukuona mara nyingi unapokuwa na shughuli zako unapiga misele na...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Siku hizi matusi yamekuwa ni viunganishi, vivumishi na vihisishi katika Lugha ya kiswahili. Angalia sentensi hizi hapa chini: 1. Dah yaani we ni Mxx..nn..zz!! ile mbaya umeweza kuruka pale!!! 2...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
eti wana JF kweli, mtu na akili zake katika muda lakini masaa machache tu utakula na kama bado si ataenda shule ila ni vema ukasaini mikataba ujue kwamba kuandika hamna neno basi tu ni hali ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii imekaaje wadau eti anatokea Obama kwenye Cloud TV anawakaribisha watz kuangalia Comedy Show Jumatatu saa tau usiku hapa cloud TV................ Ikesha anasema Dsm ni safi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanafunzi wanapokuwa Darasani siku za masomo macho yao huwa hivi : (-_-) (-_-) (-_-) (-_-) (-_-) (-_-) (-_-) (-_-) siku mwalimu akisema kesho mtihani hutoa macho iviiii (O_O) (O_O) (O_O)...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wapenzi marafiki zangu Mijisemo mingine inanishangaza na kunistaajabisha sana sijui walikuwa hawana misemo ambayo italeta maana ya kitu unachopeleka kwenye jamii au hadhira yako mingine...
7 Reactions
114 Replies
9K Views
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.In which battle did Tippu sultan die? --In his last battle 2.Where was the declaration of independence signed? ----At the bottom of the page 3.What's the main reason of divorce...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Walevi wa2 waliokota kioo.mlevi mmoja alikiangalia kioo kwa mda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni kwangu ila jina ndio nimelisahau".mlevi mwenzake akampokonya kioo kisha akakiangalia na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbele ya mtumishi wa Mungu, Bwana harusi bila woga ni pale alipouulizwa unakitu gani kama ishara ya upendo wenu? Basi akafungua ‘zip’ akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe! Bibi harusi bila woga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.
0 Reactions
59 Replies
9K Views
ndugu zangu hamjambo wote. Tukutane kwenye uchaguzi Ar.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Tupo kwenye mfungo wadau wa Chit-Chat karibuni sana tujumuyike pamoja mambo ya Chess games haya... CC.. Nyani Ngabu, Paw, Kipaji Halisi Heaven on earth, Mzee, Kaizer...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
mimi kapalampya nimeahamishia makazi yangu rasmi katika mji wa lindi kuanzia leo hii kama kuna wana cc wanaoishi lindi naomba tutafutane kwa ajili ya utambulisho na mapokezi.. nawasilisha cc...
1 Reactions
211 Replies
11K Views
jamaa alipata tetesi kuwa mkewe anaingiza buzi ndani kila anapotoka. siku moja kwa mtego akarudi mapema sana huku akiwa na shauku ya kumfumania mkewe. lakini hakumuona huyo jamaa, lakini alimuona...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kina dada wa JF mnajiamini wekeni picha zenu za ukweli na si kuparamia ma avatar ya warembo wa nje. Nampongeza Mwali, ni yeye mwenyewe orijino na ni mrembo haswa, natural, hakuna mkorogo...
7 Reactions
197 Replies
11K Views
Stupid Answers for Stupid Questions: 1. Someone calls you at 2 am in the night and ask you "are you sleeping?" Ans: no, I’m picking beans. 2. You're making out with a girl then you start pulling...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…