Mdau unayesoma thread hii usihofu; wewe haupo kwenye ignorelist yangu, ila hawa wawili: TANESCO na
CCM. Niliapa kutosoma wala kusikiliza longolongo zao, lakini wapi bwana, mara utasikia: Kuanzia...
UNAWEZA KUJUA TABIA YA MTU KWA KUANGALIA ANATUMIA SIMU YA AINA GANI.
1. Blackberry= anapenda sifa
2. Sony =yupo yupo tu
3. Apple iPhone = mtulivu (classic)
4.Nokia=yupo bize na Mishe zake
5. LG...
Hebu cheki watu wanavyosaka ajira kwa kasi kama huyu bwana:
APPLCATION FOR EMPLOYMENT
I refer to the recent death of the technical manager at your company and hereby apply for the replacement of...
Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi...
Kaofisi kangu kapo mtaa huu.
Hivi karibuni nikiwa katika kaofisi kangu ka mambo ya steshenari hapa Unguja alikuja mzee mmoja ambaye ni dereva taxi kutoa photo copy vibali vyake vya gari. Kwa...
1. Upo rum mmoja na mwenzio, anaweka AC juu kupita uwezo wa mwili wako kuhimili ile baridi kali.
2. Upo rum mmoja ofisini, mwenzio wageni ni vidosho tu kwa kwenda mbele.
3. Ile unafika asbh...
Hii Nimeisoma sehem....
Kutokana na matatizo makubwa wanayopata wapenzi haswa wanaume wakati wa Valentine ni vizuri kuanza kujipanga mapema. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kufanyika :-
1...
Siku moja kwenye hospital wa vichaa dokta wao alikuwa anapita ,juu ya ghorofa akamwona kichaa mmoja akikojoa ila yule kichaa alipomwona docta akaacha kukojoa na kukimbia,docha kwa kuona tukio lile...
"Jiepusheni na anasa fanyeni kazi kwa bidii kama kuna mkorofi kati yenu aache mara moja,mpatapo pesa kimbilia bank upesi nenda ukaziweke pesa zako zitakusaidia...
Sijui ni nini, ila ka utafiti kadogo nlikofanya DENDA haliliwi kwa wapenzi wengi siku hizi....
Mimi sasa madenda nayashuhudia ktk movie....
Eti ni kwanini? Hatukulani mate siku hizi...
Nani...
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio...
Kuna hii link nimeambiwa watu wanapiga hela kwa kujaza savei (quetionnaire) yanayo wasaidia kwenye research
kama hutajali unaweza kujaribu kwani nimeambiwa kwa nchi za wenzetu wanaitumia na...
It's career day at some primary school and every
one has to tell the class what their Dad does for
a Living.
Little Johnny is the last one to be called on to
talk.He says,my dad is a dancer at a...
to you jembe langu, mdogo wangu, muigizaji wangu Young Master uwe na miaka mingi ili tuendelee kula vinono
i wish u blast
salamu hizi zimeletwa kwa hisani ya
Hlw tanzanian ma name z Eltony Thiem frm grn cty am askng 4 chatn frndz both sex a min girlz n boyz kwa wale wanaohc wanaweza kuwa rafk zang plz contact m via 4n#0763411331...