JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eid Mubaraq............. Jamani nimekuja mjini baada ya kumaliza kazi ya kuvuna kijishamba changu kijijini na kuuza mazao, fasta fasta tuelekezane leo sikukuu tunajumuika wapi??
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hata uwe mfupi vipi huwezi kujifunika leso
1 Reactions
4 Replies
891 Views
jamani wadau mnakumbuka enzi za ma camp dar....na mashindano ya ma camp na safali za beach.... 1.jee unakumbuka camp yakoo...mimi sinza tulikuwa camp yetu inaitwa palestina camp.... 2.jee...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hallo Nimekuwa nikiwasikia wadada humu na sehemu mbalimbali kuwa wanapendelea mwanaume aliyejazia (six packs), wakati huo huo wanasema vibamia sio ishu sasa je ukubwa wa mwili una relate na ukubwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mazungumzo ya kusisimua kati ya mtoto na baba: MTOTO: Hivi unaweza kumuachia mfanyakazi wetu wa ndani gari lako aendeshe? BABA: Siwezi hata kwa dakika moja. Gari hili ni la thamani kubwa sana...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Una girlfriend wako, anatumia mitandao ya kijamii then akitongozwa huko na kuombwa namba ya simu anatoa namba zako wewe boy wake, hii ikoje hasa? Nini maana yake?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Am so into u!!!! Please be my girl!!! I love u
0 Reactions
38 Replies
3K Views
wakuu kama uzuri wa mwanamke ni tabia, sasa ma.ta.ko mnangaliaga ya nini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mpoo!! .Nashangaa kwa kweli na post nyingi lakini reputation power sisimizi na huwa siongeagi pumba lakini wengine wao daima ni kuongea ni kuongea pumba lakini reputation power nyingi...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Uko pekeyako kitandani Huna usingizi Huna wa kuchat naye Simu haina bundle na maduka yamefungwa na kwenye mtandao huna salio na unatamani kuingia JF na simu imezima chaji na umeme umekatika...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
THE DIFFERENCE BETWEEN A FOREIGN POST AND A KENYAN POST over a relationship thread! UK PAGE.... Hello, my name is Sandra Stone, from Edinburgh I love my husband so much and I am...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasemekana Tanzania ndo nchi inayongooza Africa kwa mabinti warembo!! Kuna ukweli hapa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Miongoni mwa watumishi wanaotakiwa kuwa tayari kwa lolote muda wowote, siku yoyote, mahala popote ni wenye wajumbe wa nyumba kumi, wenye viti wa mtaa, wajumbe wa shina au wenyeviti wa kijiji. K...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Close
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha "habari" kinavyojieleza hapo juu ni kwamba wabongo ukimsalimia ukasimama nae basi lazima salamu yenu ili ikamilike itachukua sekunde thelasini hadi dakika moja? Na kingine ni zile...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
naitwa mahmoud ramadhan,nna miaka 22,ni muajiriwa serikalini na tokea nimeajiriwa huu ni mwezi wng wa 6,na nnafanyia kazi pale shinyanga ni mtendaji mzuri tu wa kazi kutokana na kazi zilivyo,Sasa...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanachit chat naomba mnielekeze hospital nzuri ya kung'oa meno....jino linaniua, yani nahisi kufa jamaniiiii.... nimelia hadi macho yamevimba.... nipo dar MziziMkavu tafadhal pitia hapa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina vikuku vya kienyeji pale kwangu, kama 5 tu ila shughuli yake ni pevu, nimevifuga kujikimu chakula, yaani vinavyosumbua, ukijisahau tu chakula vishakula, mara vimejisaidia, yaani unaweza...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa bahati mbaya toka nilijue hili jukwaa sijawai ku-pm au ku-piemniwa na mtu. Sasa nataka nianze utaratibu wa kuanza kuwa pm watu ila ningependa kupata kajiuzoefu kadoogo huko pm kunanaje. Au...
0 Reactions
125 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…