JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
TEACHER= Kama mama kwa Kiingereza anaitwa madha, baba ataitwaje? STUDENT= Badha. ???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wa pastor kalike page ya dume condom Mtoto wa chapombe kalike page ya GOD IS GOOD
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaume walio namachogo wana akili sana darasani na hata ktk maisha ya kila siku lakini ktk suala la mahaba nibure na wakati huo huo wanaume wasio na chogo huwa hawana akili za darasani na hata za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu ni hoja ndogo hapa; Eti kwanini pesa za sherehe kama, harusi, send off na kitchen party hazilipiwi kodi TRA? Wakati pesa zake zinachangiwa na watu/umma? Ni pesa za umma hizo, why?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF? Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa. Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani. Imenifanya nijiulize kama...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Kada ya Ualimu-wavae mashati yenye vifungo mabegani vion meupe yaonyeshe madaraja yao kama vile grade A,AEO iii,EOii,EOi,PEOi,PEOii etc. Chini wavaa rangi blue iliyokolea. Wahasibu wote wavae...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wash'kaji eeeeeeeh! Huku kitaani kwetu pande za pugu_kajiungeni kuna mtoto ni pini matata sana, kwa mwonekano, na kitabia pia (kwa mujibu wa majirani & wengine wanaomfaham'). _ Ni mweupeeeeeeee...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jioni Wakuu. Hebu tujaribu ku-assume kama kungekuwa na tuzo kwa JF members kila mwisho wa mwaka husika ni akina nani wangebeba tuzo kwenye Category zifuatazo? Pia unaweza ukaongeza...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Pamoja na kuwa ni mpambanaji Ila Mimi ni mvivu. Ni mvivu kushusha net, hii kazi ya kushusha net naiona ngumu sana. Kuhesabu hela, pia hapa Mimi ni mvivu. Naweza nikalipwa mzigo wa hela nikaubeba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viumbe vingine vyenye uwezekano mkubwa wa kupotea duniani ni wanawake weusi. Hawa sijui watakuwa wanauawa na jangili gani?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wendewazimu baada ya kutibiwa kwa mdarefu madaktari wakafanyia majaribio kama wamepona hivyo wakafungiwa katika chumba kisichokuwa na mlango. Kisha ukachorwa mfano wa mlango ukutani na kuamriwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ushauri wenu unahitajika wadau, Nilikuwa na kiti maalum mkoa tofauti na ninawasi, tulikuwa tumepeana nafasi na ni miaka kama nane tuko Pamoja ila juzi juzi wife aliiangalia cm yangu na kuamua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu utafiti nilioufanya kwa takribani mwaka moja ni kwamba 80% ya wanawake wanaovaa suruali wana miguu membamba kama fito au toothpick. TIRIRIKENI HAPA.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau nataka kwenda arusha kwenye tarehe 20.dec 2015 hali usafiri ikoje kwa waliosafiri wiki hii kuna shida ya usafiri au hali bado haijachanganya nauli imefikia sh ngapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namtafuta clasment wangu anaitwa Wilyalfa Wilyfest. Tumemaliza wote stnd 7 pale mwereni primary. Pia hata wengine tuliokuwa pamoja mnakaribishwa. Bila kuwasahau Robati kamili, kinanasi mdevi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
... Jamani jamaniii.... Mke na Mume na watoto wao wawili walilala kitanda kimoja.... mmoja wa miaka 2 na mwingine wa kiume miaka 4..... ...Mapenzi yakaanza usiku.... ...mara wakamuangusha...
5 Reactions
31 Replies
17K Views
kuna kitu kimooja ambacho mwenye kujua atujuze hata ikiwezekana kwa picha,mm sina kumbukumbu kma nilishawahi kumuona mtu mweupe[MZUNGU] kama kasuka rasta au kusuka kikawaida,hebu mwenye kapicha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasalaam wana MMU! Ninayaandika haya nikiwa ni mwenye furaha iliyopitiliza.Furaha Ambayo imenifanya nije hapa kuja kuwashukuru wana mmu walioamua kuacha kazi zao na kuja kuungana na mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani anayejua maana ya neno BODABODA atujuze
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu najuta tena najuta mie kununua gari ni sawa na kuoa mke wa pili, Kwa kifupi hili gari ni sawa na mke wa pili kwani linanipelekesha na kutaka kunitoa roho kabisa, lina gharama kama mke wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…