Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA...
habari zenu humu ndani...wikend hii nategemea kuwepo rock city...sasa jamani ajitokeze mrembo wa jf mmoja awe mwenyeji wangu kwa kunionyesha mitaa ya mwanza na burudani zake.
Ukitaka kujua rangirangi halisi za Bi Harusi
kitabia,hata kama amekuwa akipritendi na kuongea
kama Shemasi wa Parokia ya Mabibo Farasi we
angalia ule muda ambao MC amewaita "MARAFIKI
WA BI HARUSI"...
Wakuu poleni na harakati!!
Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!!
Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda...
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna...
Nakumbuka kipindi najifunza kutengeneza magari baada kumaliza elimu ya msingi wakati nasubiri matokeo nilienda kwa uncle yangu mjini sasa wakati uncle anend zake gereji sikubakaniambia ucle twende...
Chezea Mapenzi Ya Mbali Wewe..
Wewe Unaish Dar Alafu Baby yuko Sumbawanga
kikazi.Hamjaonana Miezi 5 Kutokana Na Ubize wenu
Na Majukum..
Siku Mnaonana Unamuuliza Miezi Yote "Hii Ivi Baby
Ujani...
Nakumbuka kipindi hicho redio ilikuwa inatangaza mpira wa simba na yanga sasa tukawa tunasikiliza, mimi nikamuuliza mzee mmoja sasa simba anacheza mpira na huyo yanga!!vipi huyo yanga hamwogopi...
Histori ya haya mashine.
Haya mashine yalizinduliwa mwaka 1890 huko taifa la Bulgari na kuanza kufanya kazi mwaka huohuo. Historia inasema yalipelekwa India kwa muda wa dakika kumi yalikamata...
OMBA OMBA Ni JEURI kinoma..
wameshafukuzwa DAR na SERIKALI zaidi ya mara 10 warudi kwao DODOMA wamegoma mpaka SERIKALI imeamua yenyewe Ndio ihamie DODOMA.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]...
Mlevi: Halooo!! Hapo ni kituo cha polisi????
Polisi: Ndiyo, tukusaidie nini?
Mlevi: Kuna wizi umetokea. Nilipaki gari langu baa,nimetoka nakuta usukani, dashbod na kiti cha dereva havipo...
Usione watu wanapenda kuvaa High Heels hata
kama kaalikwa kwenye Ubarikio..Kipai
mara.Komunio.. ye anagonga high heels tu.. Sio kama
Wanapenda..Wengine zinawasaidia angalau
waonekane nao wamo...
Wakuu m nataka ntoe ya moyon Leo,Kama Na ww unalo lako moyon utatoa coz unaruhusiwa Na katiba iliyopo..
Kiukweli serikali ya mkemia inakurupka,maana inakimbilia kufanya mambo yasiyo Na faida...
Ni hivi wakuu nimerudi nikakuta beki 3 ameendaa maji ya kumwogesha mtoto!! Sasa ile amemwagia maji mgongoni yale maji yalivyo ya baridi amezimia!!nikajikuta na mimi nimemzaba kofi yule beki 3 nae...
Jana ndio siku ambayo safari ya mwisho ya marehemu david wakati hapa duniani ilihitimishwa. Kwa kweli jinsi televisioni ya taifa ilivyoipa coverage hii safari, binafsi haikunifurahisha. Pamoja...