Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini.
Akaingizaa kidole kwenye njia...
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Naona mko attentive kushuhudia Solar eclipse, UKUTER, miaka 52 na mengine mengi hiyo kesho. Mie akili yangu inawaza CR7 anaanza lini kucheza Maana...
Profesa mmoja alikuwa anafanya utafiti wa kisayansi juu ya nguvu ya chakula dhidi ya ngono. Akaanza kwa kufanya majaribio ya panya. Alimfungia panya dume katika kibanda chake kwa muda bila kumpa...
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"beb nipeleke petrol station niende kunusa...
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime...
Ndani ya Bac litokalo D'SALAAM
kwenda MOROGORO cm ya mdada
mmoja ikaita akapokea kusema Hello
honey niko njiani kuelekea ARUSHA
kwenye msiba nitakupigia nikifika"
mara cm ya mkaka ikaita jamaa...
Wasichana
Hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato za RED GOLD si nzuri
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu...
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
*Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa?
*Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
Teacher -Baba Eliza ana mabinti wanne , Nana , Nene , Nono wamwisho anaitwa.....?
Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!!
Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne...
Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa...
Conversation between satan and God
Satan: Hahahaha
God: why are you laughing
satan: am not laughing
God: then what are u doing?
satan: am smiling
God: why smiling
Satan: You said this is your...
Kama mjuavyo wakuu my wife aliamua kutoweka home miezi kama saba iliyopita na akabeba baadhi ya vitu,naskia siku hizi mambo yake saafi pande fulani hapo Dar.Sikuja kumjadili yeye ila kuna mtu...
Mwanafunz wa kidato cha nne akiwa ndan y chumba cha mtihan wa mathematics, gafla akanyanyuka na kwnda kukaa chini ya sakafu huku akiendelea na mtihan....Msimamiz akamfata na kumuuliza vp mbna...
Jamaa alimwaga mkewe kwamba anaenda Songea kwa ajili ya semina ya siku saba. Kumbe alihamia kwa mchepuko wake nyumba ya jirani.
Alipoamka siku ya kwanza, aliamua kuchungulia hali inayoendelea...