JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
unakuta mtu anaimba kwa sauti kubwa then wimbo wenyewe hajui anaimba uongo(anachapia) nimewakuta mara nyingi watu kama hao....wanaimba uongo mtupu unao fanania na ukweli. mi hua nacheka kimoyoyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Asikudanganye mtu eti wine inasaidia digestion,aah!wapi kitu SHARUBATI YA UKWAJU,hata ukipata constipation ngumu kiwango cha lami italainika tu kudadadaek[emoji270] [emoji270]
0 Reactions
1 Replies
915 Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hali ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Asante Mungu, asante mama peter na wengine wengi wenye mchango maishani mwangu, kipekee niseme huu pia ulikuwa mwaka wangu kama uliopita, maana mambo matatu niliyopanga niliyatimiza mwezi wa tatu...
2 Reactions
10 Replies
990 Views
Fikiria kwa kina kipi muhimu zaidi (Chagua moja - zingatia neno zaidi) 1. Kuoa / kuolewa 2. Kuwa na watoto Kwa kuwa nahitaji kwenda lunch naamini nitakuta majibu kwa wale 10 watakaowahi kusoma...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa...
2 Reactions
5 Replies
845 Views
*TONGOZO* *mwenye gari namba* *T 2016 JPM* *akalisogeze watu wanashindwa kufanya mambo yao*
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Dah kweli kuwa karibu na mahakama siyo kujua sheria ni zaidi ya miaka sita nipo Dar es salaam ila sijawai fika sehemu hizi 1:daraja la Mwl Nyerere aka kigamboni 2:sijawai panda basi la Mwendo kasi...
2 Reactions
83 Replies
5K Views
Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
1 Reactions
11 Replies
2K Views
*Hali mtaani imekua mbaya hadi waganga wa kienyeji wanakubali kuku wa BROILER* [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Ndani ya Basi litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO.. Simu ya mdada mmoja ikaita, akapokea na kusema "hello niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba, nitakupigia nikifika" Mara simu ya mkaka ikaita...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Nsha Guru Buti Yangu Tayari Kwa Kazi Kesho
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Niko single mimi mwanaume natafuta rafiki wa jinsia ya kike single tuwe tunapiga stories na kushare ideas.bernardkijosi@gmail.com elimu yangu ni shahada pia ni muajiriwa kampuni binafsi nipo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Huwa na-FURAHI sana Ex-Girlfriend wangu akiolewa, napata Moyo Kuwa CHUO changu Cha Mapenzi KINAFAULISHA!!
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Tujaribu kuandika kwa kila japani majina ya ubatizo na sehemu ulipo
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja aliishi miaka mingi baada ya kujiona keshakua mzee akawaambia wanawe nitakapokufa mimi vunjeni hii nyumba nimeweka mali nyingi hapo chini Baada ya kufa watoto walivunja ile nyumba...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…