JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi ule utaratibu wa kuamsha madude kila jumapili umeishia wapi? Au madude ndo ayalali tena? Au muamsha madude kalale yeye? #tusitajanemajina[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa members wa jamii forum roho ngumu ya paka mwenye roho 7 , ushahidi posts, .Ukiuliza kitu wanapita .Post za biznez ya vyombo vya ndani used vinauzwa , koment 100000 za soga! Sent...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamaa wawili walikuwa wanakunywa pombe huku wakiongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi; Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi? Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi! Jamaa 1: John...
14 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakat wakiwa na ufinyu mdogo sana wa elimu dunia na wingi wa busara,WAHENGA hawakutaka kutuacha bila kutupatia urithi wa busara zao. Wakaanzisha misemo(Methali) mbalimbali yenye lengo la...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Eti mpenzi wako wa zamani ukiambiwa umtumie dedication ya wimbo mda huu utamtumia wimbo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
121 Replies
14K Views
Je MadeeAli yuko sahihi alivyomjibu Idris Sultan. Nawe dondoka hapa.
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Ni kuwa Huyu bwana flat screen yake imekufa ni mwaka wa nane huu tangu ainunue. Sasa anakwenda kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili kwa jirani yake. Akifika kule anapewa na balimi kabisa na...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Siku hizi ni kawaida watu na vijana waliowengi kuntukuza shetani bila ya wao kujua. ni mbaya sana. Na siku ya mwisho Kila mtu atawajibika!
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Huyu bi shost alitaka kumdhibiti mume basi kama ilivyoada aliwlekezwa kwa sangoma, ni Nyamwicho huyo alimwambia anataka kucha za mikono na za miguu za mumewe ili kazi ifanyike. Bi shost kila...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
...
0 Reactions
4 Replies
577 Views
Leo inabidi tuseme tu ukweli, Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
1 Reactions
180 Replies
9K Views
ndo tushaanza ivyo,we na usajili wote huu ozil,Sanchez wamebaki tusiwe kileleni..!!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Humu ndani wazima lakini?Najuwa tunapenda sana kutumia misemo ya wahenga katika maisha yetu lakini kuna misemo mingine haina maana.Tuorodheshe misemo ambayo haina tija kwa jamii ya sasa...
1 Reactions
64 Replies
15K Views
Chemsha Bongo yako kwa kutupia mambo matatu au vitu vitatu vinavyoshabihiana lakini kazi zake zipo tofauti, najuwa vipo vingi tunavyovijuwa na tusivyo vijuwa, Mf: Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za siku Katika tembea tembea yangu huku mtaani na vile vile kwa watangazaji wa tv wana mapendo. Mapengo haya yanakuwaga kwenye dental formula hasa hasa upanda wa pre-molar. Ukimuangalia...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
"muungwana akivuliwa nguo huchutama" huu ujinga sasa kwahiyo akichutama ndiyo tayari amesitirika??? gongo wazi vipi?? #WapostPumba
1 Reactions
5 Replies
6K Views
After living another year I'm thankful to God that he blessed me so much and I'm real blessing to others. Happy birthday to me Wakuu karibuni tuje tukate cake location Arusha makao mapya
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
_*Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…