Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
kwa familia zetu hiz ni balaa;kuna siku naambiwa hvy nikazuuuga weeee,na ww pia
manzi kafura aahh niambie uko na nan mpk unashindwa kuongea?,uko kwa dem wako eehh???
 
Kama nimeoa namjbu i love you too.. Ila kama mpenzi tu, namwambia asante, kama mpenz wako mnaaminiana na kuelewana atajiongeza tu upo sehemu mbaya..

NB: Inashauriwa unapoongea mazungumzo binafsi hasa ya mapenzi usiongee mbele za watu, unaweza kutoka hapo kwenda kuongea sehemu nyngne kwa uhuru, kama upo sebuleni na kuna watu wengne, unatoka unaenda hata room
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
Kama mume wangu namwambia I love U more and more my King na busu juu..
 
208ad91c83f0994370c36f6b14d42ce8.jpg

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom