Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani
Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm...
Jaman tatizo langu sielew...mwenzenu toka yaanze maswala ya vyeti na mambo ya kutena mm kwangu imekuwa tofauti yani kila kisikia wakiongea habari za siasa uume wangu unasimama ni saidie jaman...yn...
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili.
Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band
Mashairi ya wimbo ya Diamond :
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina...
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere!!!
Sijitaji maelezo mengi picha inajieleza , nataka maoni yako unaonaje ?
Oyo : Sitaki Wadada wa Jf msinitafute PM , Mimi nipo kwenye No Fap...
Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube.
Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni...
Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani...
Evelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or...
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya...