JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haya na nyie wana JamiiForums wenzangu katika Birthdays zenu mpo kama Mimi au nanyi huwaalika tu Fools wengi?
9 Reactions
37 Replies
441 Views
Wapendwa, Ni wapi (kiwanja) naweza pata nyama choma nzuri kwa dar. Domo Zege
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli...
3 Reactions
28 Replies
350 Views
Mtanzania ukimuona analia na kughalaghala popote pale ujue anaiwinda fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani mtu anaililia Iran kuliko ata ubalozi wake nchini Tanzania
2 Reactions
2 Replies
138 Views
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
3 Reactions
9 Replies
155 Views
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza; Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa...
24 Reactions
94 Replies
1K Views
Mzuka wana Jamvi. Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache. Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Either kama ulifanya hivyo kwa kupitia maelekezo ya Mshana Jr or wewe mwenyewe kuwahi kufanya binafsi. Karibuni.
4 Reactions
27 Replies
926 Views
Nmehuzunika sikuwa najua kumbe DSM ni kubwa sana. Kuna watu wanakaaa mbali. Leo nmefika mpaka Mbagala. Unajua maeneo ambayo mi nayafahamu ni toka posta barabara mpaka Bagamoyo. Na pia niliwahi...
18 Reactions
69 Replies
6K Views
Wakuu, Siamini kama mimi kijana wenu hatimaye nimepata kipara. Nilikuwa namcheka mzee wangu, Ila hatimaye yamenikuta.
4 Reactions
11 Replies
244 Views
Wengi tunaamini waarabu ndio wanaongoza kwa majini; kama ni kweli majini yapo, wameshindwaje kuyatumia kwenye hizi vita vya miaka na miaka kati yao na Marekani?
2 Reactions
18 Replies
297 Views
Unapendeza sana ukiwa nami, Ila nkuacha hunahuzunika.Je mimi ni nani?
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Nimeanza na mapenzi, mwizi, ndizi endeleza......???
1 Reactions
10 Replies
194 Views
Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
1 Reactions
3 Replies
173 Views
Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa...
10 Reactions
77 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…