JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama...
6 Reactions
19 Replies
874 Views
Hi! Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naombeni elimu kidogo namna ya ku-mention member kwenye post, mimi nashindwa lakini naona wenzangu mnaweza. Mnafanyaje??
1 Reactions
124 Replies
11K Views
Nakumbuka enzi zile wakati hakuku wa na members wengi kama sasa, na internet ilikuwa hadimu. Yaani wanachat tulikuwa kama family ndogo hivi, tulikuwa tunajuana personality ya kila mtu wako wapi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kweli wahenga walikua sahihi waliposema tembea ili uone mengi, yahani mimi na ukubwa wangu huu nilikua sijui Kama uji ni juice ya mahindi mpaka nilipofika MBEYA. Kweli wanyakyusa mmetisha sana...
0 Reactions
4 Replies
530 Views
Huyu ni mtangazaji wa kike wa cnn,nampenda sana jinsi anavyoongea kiarabu fasaha kabisa
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Wryii
5 Reactions
70 Replies
8K Views
Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe...
20 Reactions
139 Replies
4K Views
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv...
11 Reactions
94 Replies
3K Views
IKENGYA NA BEYARULA Beyarura, orairota? Ati: “Ndaire mbyamire, oraboine arara ayemereire?” Beyarura, omuka wasigayoki? Ati: “Omuka ni nkahai? Mbali oshanga Omukama niho oramiza.”...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
hii ndo budget ya manunuzi 1. Switch 3 2. Bulb 3 3. Cable 2 4. wire m20 5. Holders 5 6. Tester 3 Kimepelea nini kwa mtaji wa lak 1
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Honey for sale. Very origin, pure Honey.... Karibia Karibia customer....
3 Reactions
11 Replies
619 Views
Ni muhimu sana kuwa makini. Unapoenda kwenye kadamnasi kubwa! Uzi tiyari🤣
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Unajuana na na nani ndio msingi mkuu na sio unajua nini Tafakari
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Nimekuja bar nimeagiza supu nimezoea zangu mwanza supu elf 5 had elf6. Bili inakuja kumbe supu ya samaki huku huwa n elf 30 had 40! Huyu nilokula ni elf 40. NIMEWAMBIA NAKUJA NIKO CHOONI NALIA
23 Reactions
87 Replies
4K Views
Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Hivi kwa bongo hii kuna MBOGA Safi inayovutia kuzidi hii? Kuna watu wanakula MBOGA Safi bana!
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee? Wahenga kipindi kipi...
4 Reactions
112 Replies
4K Views
Je, ulishawai mkimbia mwanamke au kumuacha mwanamke gesti baada ya kutofautiana na je sababu ilikuwa ipi ukamuacha peke yake ukasepa zako?
18 Reactions
269 Replies
15K Views
Mimi natumia Samsung A50, wewe unatumia simu gani?
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…