JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu. Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa nini soda (Peps Take Away) za Singida hazijai inavotakiwa!?? Yaani zipo PUNGUFU kwenye ujazo wake...
5 Reactions
12 Replies
570 Views
Habari za muda huu wanajamvi! Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)? 🔹 Ulijisikiaje? 🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama...
42 Reactions
610 Replies
18K Views
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM. Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya. HR 666 njoo let us share the...
24 Reactions
2K Replies
107K Views
Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni. ANGALIZO Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika...
1 Reactions
1 Replies
219 Views
Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania. Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa...
3 Reactions
4 Replies
388 Views
Za siku wakuu. Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia...
5 Reactions
28 Replies
892 Views
Naam. Kiingilio 500,000,000 tu. Watu unaokaa nao, utafanana nao
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!" nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa...
15 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
4 Reactions
5 Replies
448 Views
Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋...
54 Reactions
289 Replies
7K Views
Huyu mwanafamilia wa Jf To yeye ameadimika yupo wapi?
14 Reactions
96 Replies
3K Views
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
1 Reactions
4 Replies
409 Views
In fact wanajeshi sio wanafiki Wala wanako kama police hatembei na watu wanafiki kama politician the guy he is so fucking smart Nasubiria siku akija uapisho wa samia na vijana wake walio full armed
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Hebu tusaidie mabingwa hapo hiyo ksh 10 imetoka wapi?
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6. Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
18 Reactions
169 Replies
7K Views
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje.. Hii marafiki, juu hapo...
36 Reactions
408 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…