Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni! Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu...
22 Reactions
57 Replies
3K Views
Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Kupitia Waziri wa Michezo Pindi Hazara Chana, kama mwakilishi wa Rais Samia usiku wa leo katika uwanja wa Taifa, ametimiza ahadi yake ya kuikabidhi timu ya wananchi Yanga FC kitita cha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja! Hivi kweli tukiweka bangi pembeni Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja...
2 Reactions
9 Replies
782 Views
1) Magumashi katika usajiri wao. Tizama Baleke, Kapama, Okra, Banda, Okwa, Kibu, Watara. Hawa ukiwachanganya na Boko utafungwa mpaka ucheke! 2) Wachezaji wanamwomba Mungu, hapohapo timu inaroga...
6 Reactions
6 Replies
795 Views
Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani? Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya...
4 Reactions
7 Replies
699 Views
Tukiachana na mambo mengine kiukweli kiwango cha kipa wa simba Aishi Manula kimeshuka sana ,amekuwa akifungwa magoli ya ajabu ajabu na kuighalimu timu. Hata lile goli la pili lililo fungwa na...
3 Reactions
11 Replies
701 Views
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee. Saidio na Chama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike...
4 Reactions
6 Replies
669 Views
Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Mchezaji bora wa dunia muda wote na mshindi wa kombe la Dunia mwaka jana Leo Messi anasemwa kukataa mkataba mpya aliopewa hadi 2025 na nyongeza ya mwaka mmoja hadi 2026. Watu wake wa karibu...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Kama wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeona kabisa TP Mazembe kwa misimu hii ya karibuni ni timu imekuwa ya kawaida mno. Tofauti yao kimchezo na Ruvu Shooting au KMC ni historia tu. TP Mazembe wana...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake 1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10 2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa...
18 Reactions
123 Replies
7K Views
Baada ya kusugua benchi, leo ameongoza jahazi la ulinzi wa Yanga. Kwa mimi huyu ndio Man of the Match wangu. Kuna muda alikuwa kama kapagawa au kama kavurugwa hivi maruhani yamempanda, alikuwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Nashauri match za Simba na Yanga, Katikati ya wiki zisogezwe Mbele! Kupisha maandalizi ya match za Kimataifa za weekend
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili...
17 Reactions
60 Replies
4K Views
Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee...
0 Reactions
2 Replies
620 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…