Kwa namna hali ilivyo tu, ukiangalia unagundua kila kitu kuhusu Simba SC hakiendi sawa tangu miezi ya mwisho ya Barbara kuelekea kuondoka Msimbazi.
Ni kama Mo kasusa timu, wachezaji hawana mori...
Wakuu,
Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi.
Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa...
Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!!
Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma
Hongereni...
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni...
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili...
Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18...
Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa...
Klabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefungia Uwanja wa Benjamini Mkapa kutotumika kwa kile kilichoelezwa umeharibika eneo la kuchezea (pitch) na sasa utafungwa kwa mwezi mmoja kupisha marekebisho...
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma
Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya...
Wakuu naomba kuuliza
Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Simba raia wa Brazili Roberitinho almarufu mzee wa Sambaroketo kushangalia kupata sare pindi timu yake iliposhuka dimbani kucheza na timu ya...
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho.
Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda...
Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku...
Freddy Macha
KWA UFUPI
Ingawa msafara huo ulihusu michezo na mpira, uliwakutanisha pia baadhi ya Watanzania wakazi wa Jiji la Sunderland na wale wasomao Chuo Kikuu cha New Castle, Kaskazini...
Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba...
Mchezo unaelekea mwishoni, Liverpool wamepigwa goli 5 kwa 2 mpaka sasa licha ya wao kutangulia kwa goli 2 kwa bila.
Je, ni wakati wa Klopp kuondoka au apewe muda?
---
Liverpool’s hellish season...
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amezungumza na Azam Tv kwamba, rais wa heshima wa timu hiyo Mohammed Dewji 'MO' anarudi kusajili.
Try Again amesema kuwa...