Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.
Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji...
Nimekaa nafikiria tangu juzi nikajisemea moyoni hivi hawa jamaa kauka nikuvae mabeki wa Simba Tshabalala Zembwe Jr na Kapombe mishahara yao ni kiasi gani? Maana sio kwa kazi ile wanayopiga...
At any time t Potter anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi...
Habarini ndugu zangu
Next game
Utopolo vs Bamako..yanga win
Monastir vs Mazembe (Mazembe win)
Utopolo vs Monastir (utopolo loose)
Mazembe vs Yanga (Mazembe win)
Yanga out
Wanachii huu ndio...
Salaam wakuu!
Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum...
Tembea uyaone, huku shirikisho ambapo Yanga yupo ni yeye tu ashindwe kupita lakini timu za huku ni za mchongo kama hawa Bamako ni timu ya kawaida mno hata jezi zao zina akisi ninachokisema.
Yanga...
TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia.
Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali...
Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.
Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja...
Huyu dogo anayepambana na Tony Rashid mbona sifa zilikuwa nyingi na anaonekana anakwenda kupoteza pambano.
Hizi trends za wabongo kushinda , je ni wako bora sana Africa au tunamdanganya nani?
Ni...
Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia.
Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu.
Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji...
Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki.
Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
Wakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana...
Wakuu habari za jumapili, bila shaka leo ni pambano la Jack Paul Vs Tommy Fury, mwenye taharifa ya pambano ni saa ngapi kwa masaa ya Tz watujuze na litaoneshwa station gani ili tuweze fatilia...
Mimi ni jangwani pure,ila niongee kidogo hili. Mikia wakichanga karata zao vizuri na wakaachana na mambo ya Rivas na moto viwanjani watapenya hadi robo final.
Hesabu ziwe hivi. Wana point 3...
Kipa mstaafu wa Cameroon Thomas N'Kono alishiriki katika Fainali tatu za Kombe la Dunia la FIFA (1982, 1990, 1994) na mashindano manne ya Kombe la Mataifa ya Afrika (1982, 1984, 1986, 1990)...
Je;
1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi...
Yanga wangefuzu Champions League kwa kuitoa Al Hilal ndio wangepangwa hili kundi hapa chini.
Kwa Yanga hapa wangeondoka na pointi ngapi? Maana Al Ahly mwenyewe ana pointi 1 kwa mechi 2.