Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa...
2 Reactions
2 Replies
858 Views
Wachezaji wa Timu ya Tottenham wametoa taarifa kuwa watawarudishia mashabiki wao gharama za ticket baada ya kushuhudia wakifungwa kwa goli 6 na Newcastle Timu hiyo tayari imemfukuza Kocha wa...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani. Kitu pekee...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira...
2 Reactions
3 Replies
897 Views
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]). Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale. Kwa hali waliyo nayo...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo. Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha. Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo...
4 Reactions
8 Replies
833 Views
Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Baada ya mechi 2 za Yanga na Al hilal nikaona nisubiri mechi ya leo ili nifanye hitimisho km kweli Nabi ana uwezo wa kuiwezesha Yanga kufanya vzr kimataifa au laa. Nisema tu Yanga wasitarajie...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Tumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye π‹πˆπ†πˆ π˜π€ πŒπ€ππˆππ†π–π€ π€π…π‘πˆπŠπ€ Jean Baleke anaongoza mashambulizi, Inonga anaongoza eneo la ulinzi Yaani kwa ufupi ni kwamba Afrika nzima...
4 Reactions
13 Replies
991 Views
Yanga ingefungwa jumapili ijayo angejifutua kanisani kudai aliongea na Roho Mtakatifu!
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Imekua ni TABIA sio TZ tu hata huko duniani matajiri wengi hununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu hizo sio haba huwa zinafanya vizuri sana. Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Kiufupi Inawezekana. Nyie wote ni Magiant Ndio maana mmebaki nane tu ; mnaweza kuitoa Wydad hata wakiwa na Vitimbi vipi. Mkiitaka hii mechi kama wanavoitaka Wydad , mtatoboa. ILA mkienda na...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunaomba mrejesho juu ya uanzishwaji wa mfumo wa shea, maana hatuna taarifa rasmi.
1 Reactions
1 Replies
734 Views
Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…