Wakuu,
Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo.
Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi...
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la...
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema sababu ya kutokumpiga kwa KO, Muvesa Katembo wa Afrika Kusini ni kutokana na bukta yake kumbana.
Katika pambano hilo lilofanyika juzi katika Uwanja wa Jamhuri...
Mods sahihisha kichwa cha habari "Uliosababishwa"
Klabu kubwa Nchini TZ kabla ya kusafiri leo 24 April.Imeandikia barua ya malalamiko CAF kufuatia kitendo cha mashabiki wa wydad kusambaza moshi...
Ameandika Mwanaharakati Yericko Nyerere
"Hii haikubaliki, hii ni dhihaka, dharau na kutweza utu wa Msemaji Mkuu wa @yangasc ndugu @alikamwe na Mkuu wa Digital ndugu @privaldinho ambao ndio wana...
Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City.
Man City yeye amebakiza mechi 10...
Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa...
Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V...
Kiungo wa Arsenal Thomas partey amesema wapo tayari kushinda mechi ya katikati ya wiki ili kutangaza ubingwa mapema
Amesema "tupo tayari kupambana na kushinda mechi hiyo kujiweka katika mazingira...
Nafikiria kwa ile form aliyokuwa anaionesha kipindi mpaka anaacha kucheza Yanga, hivi sasa kwenye Robo Fainali za CAF CC si angekuwa ni katika wanaotajwa vizuri kuliko akina Mwamnyeto na Bacca...
Yanga ndiyo timu ya kwanza kuingia makundi Klabu Bingwa mwaka 1998 na pia timu ya kwanza kuingia makundi Kombe la Shirikisho mwaka 2016.
Yanga ndiyo timu ya kwanza kufika hatua ya nane bora Kombe...
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
haya ni mambo muhimu sana kwa maendeleo ya yanga ndani ya miaka 10 ijayo:
1.kujenga uwanja
2.kumnunulia gari kila mchezaji
3.kununua ndege kwa ajili ya usafiri
4.kujenga sanamu ya tabu mangara...
Mashabiki wa simba wanasema mpira unamaajabu sikatai ni ukweli na maajabu ndio kitu yanafanya mpira upendwe.
Ila sio kama mashabiki wa simba munavyoamini kua maajabu yapo mda wowote...
Japo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine
Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ...