Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Vunjabei, tunaheshimu sana uwekezaji wako kwa timu yetu pendwa ya Simba, a.k.a team ya wenye akili. Naomba tukukumbushe kuwa, uzinguaji ulioufanya misimu miwili iliyopita imetosha. Masuala ya...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Kapombe asiachwe Stars kwani yeye ni nani, akiwepo tutashinda? Hakuna mabeki nchi hii wanaoweza kucheza nafasi yake, yuko Kibwana yuko Job shida ni nini? Kapombe ni beki mzuri lakini ameniudhi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani. So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Nelly alishawai kuimba Nini kinahitajika kuwa namba moja Wa pili sio mshindi Wa tatu hakuna anaemkumbuka Ukiwa namba moja Watakaa na kuiandika hata wakichukia Basi ndivyo ilivyo na kwenye...
0 Reactions
1 Replies
509 Views
Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma leo Juni 15, 2023 mkoani Tabora amefungua mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSSETA) kitaifa katika viwanja...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Tunajua mnafanya kazi kubwa ya usajili. Pamoja na vipaji mnavyopambana kuvichukua lakini tuna tatizo kubwa la vipaji kutokea hapa nyumbani. Hii imepelekea mara nyingi tubakie na local players wale...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutamatika kwa ligi kuu soko nchini England maarufu kama Epl. Leo chama cha soka nchini humo kimetoa tayari kimetoa ratiba ya msimu ujao 2023/24. Kwa mujibu wa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Wananchi hawapoi.....hawaboi[emoji23][emoji23] Yanga SC baada ya kutetea ubingwa wao wa Azam Sports Federation na kuwa wametetea mataji yao yote matatu. Leo Saa 5:00 Wananchi watafanya Treble...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Rais wa Yanga (Eng. Hers) kupitia kituo Cha radio wasafi FM alizungumzia suala la kocha Nabi kuwepo Yanga. "Kocha Nabi yupo sana mtoto wake ambaye anamsimamia tulikuwepo nae kwenye mechi ya...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora under 20 kwenye hafla ya utoaji tuzo huko Tanga. Nampongeza sana lakini kusema ana chini ya miaka 20, mh!
12 Reactions
63 Replies
8K Views
Sitochoka kutokwa na povu na kushupaza mishipa ya shingo Tena kwa kujiamini kwa asilimia Mia kuwa Yanga itachukua kombe mbele ya mwarabu( USMA ALGER). Mosi, ushindi wa Yanga (nje na ndani) Kila...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Haiwezekani atukoseshe kombe la CAF kirejareja tu. Aondoke tu kwakweli. Ona sasa jinsi makolo wanavyotuzodoa.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba. Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa nne tofauti kuhusu benchi la ufundi zitakujia leo kupitia Simba App. ⏰ Saa 7:00 mchana ⏰ Saa 8:30 mchana ⏰ Saa 10:00 jioni ⏰ Saa 11:30 jioni -- Stay tuned hapa ntawaletea yatakayojiri...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Am informed that kesho jioni viongozi wa chama langu pendwa will have a detailed discussions with Adebayor ambaye ametangaza kutochezea RS Berkane msimu ujao. Naendelea kufuatilia kwa ukaribu.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Leo amesikika Rais wa Tanzania Akimdadavulia Rais wa Yanga SC Bw Eng Hersi Said kwa lengo la kumuhimiza ahakikishe Mchezaji Feisal Salum anapata haki yake. Ninacho fahamu kuwa...
16 Reactions
185 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…