Kwanza kabisa ni aibu kuandika Official letter kama ile tena kwa kuquote vifungu ambavyo ni irrelevant.
Hivi what does it mean fixing a match ?
Mnaweza kupigwa fine kupeleka tuhuma kama hizo...
Ukiwa na D mbili tu za form four utajua kuwa lile sio goli kwani sote tumeona uwanja uko flat hakuna mabonde wala nundu nundu.
Katika hali ya kawaida mpira ungevuka goal line,ungedundia ndani ya...
Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi...
Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na...
Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe...
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo namba 180 wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024 kati ya Club ya Yanga na Club ya Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, baada ya Club hizo...
Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo!
TFF ligi...
1. Al-ahly wanasafu nzuri ya ulinzi ukianzia kipa had walinzi wa kat.
2. Historia ya kulibeba kombe mara nyingi zaidi ni hamasa tosha kwa club hii.
3. Sina wasiwasi na safu yake ya ushambuliaj...
Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.
Sasa...
Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi.
Kwenye angle...
Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa...
Baada ya Mechi kuchezwa kwa dakika 120 bila kufungana ilifika hatua ya Kupiga PENALT 5 kila TIMU.
Katika Hatua hiyo MAMELODI walipata Penalt 3 na kukosa 2 na YANGA walipata Penalt 2 na kukosa 3
na...
Boss wa maigizo Fc (kanjibahi) ameahidi kutoa milioni 500 endapo timu itashinda (kufuzu) hatua ya Robo fainali, hii hamasa haina tofauti na mgonjwa aliyekua anaumwa na kukosa dawa hakupewa msaaada...
NALIA NGWENA Leo nimechanganyikiwa baada ya kuona ukurasa wa Azam sports ukiposti ujumbe huu
#ASFC: Machi 2, 2024, wapiga picha wa Mtibwa Sugar, waliipiga picha hii wakati kikosi cha timu hiyo...
Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana.
Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016.
Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani...
Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.
Kwanza mm...
Yaani nyie nyuma kuna mwiko mlijua mtamtoa mtoto wa raisi kirahisi hivyo, mcheza kwao hutuzwa, nyie bado ni wadogo sana kupewa lile goli 😀
Safi sana refa umetuondolea makelele hapa town.