Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana, basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka. Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa...
1 Reactions
1 Replies
404 Views
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna mjadala unaendelea mitandaoni juu ya hali ya hamasa kuelekea mechi ya kesho. Mashabiki wengi wa Simba pamoja na viongozi wao wanasema derby hii imepoa kwa sababu wao sio wenyeji na...
1 Reactions
13 Replies
839 Views
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
18 Reactions
74 Replies
4K Views
Habari wakuu, Leo kutakuwa na droo ya robo fainal ya ligi ya mabingwa ulaya. Timu nane zimefuzu kwa ajili ya droo hiyo, ambazo ni; Arsenal (England) Atletico Madrid (Spain) Barcelona (Spain)...
14 Reactions
230 Replies
13K Views
Eti ndugu zangu Simba kwa mfano Kesho tena Simba mkafungwa 5 na yanga mtafanyaje? [emoji23][emoji23]
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Mwanajukwaa. Kesho Tarehe 20 siku ya Jumamosi kunaenda kupigwa Mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Vs Simba. Ila moja ya kitu ambacho hua kina staajabisha katika huu Mchezo ni Moja ya...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
2 Reactions
16 Replies
942 Views
i pray that you mobilize the players to control their emotions and play a very disciplined game
1 Reactions
1 Replies
391 Views
Sikiliza na kutazama hapa ahadi yake kuelkea Dar es salaam Derby.
2 Reactions
7 Replies
978 Views
Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye...
20 Reactions
68 Replies
6K Views
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni. Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…