Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ewe mpenzi wa soka la Tanzania, habari zikufikie popote ulipo kuwa kikosi cha Simba SC kimeanza vizuri katika maandalizi yake ya Msimu mpya huko nchini Misri. Hii ni baada ya kukichapa kikosi...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Uzi unajieleza wenyewe Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Kumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha! Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
1 Reactions
15 Replies
899 Views
Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star Kocha wa Manchester City, Pep...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu. Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hersi has experienced a lot of backlash recently, and the way I see it, he is facing trial after trial. Magoma's issue started with Manara. The case was attributed to fans not wanting Manara...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Timu ya Yanga kesho itatupa karata ya pili katika mashindano ya Mpumalanga cup kwa kucheza dhidi ya TX Galaxy. Mechi itakuwa live Azam sport 1 HD saa kumi jioni. Mechi ya Yanga ya kesho...
7 Reactions
6 Replies
776 Views
Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano...
8 Reactions
178 Replies
5K Views
Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo. Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao...
12 Reactions
81 Replies
7K Views
Karibu tena mtaalam wa hamasa Bugatti. Wewe ni mwananchi halisi. Unaipenda Yanga kutoka moyoni. Utaipandisha team yetu thamani. Manara ndo mhamasishaji mkubwa Tanzania ataipa Yanga thamani...
2 Reactions
14 Replies
875 Views
Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia...
20 Reactions
80 Replies
2K Views
BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Tumezinyaka sababu ziliyomfanya asiwe sehemu ya kikosi hicho ni ishu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri. Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio...
14 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora...
3 Reactions
10 Replies
779 Views
WAKATI Kocha Mkuu wa Augsburg, Jess Thorup, inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani Bundlesliga, akiimwagia sifa Yanga kutokana na kiwango ilichoonyesha katika mechi ya juzi nchini Afrika Kusini, Kocha...
3 Reactions
1 Replies
767 Views
Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
I will be short manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga. with big names in yanga huyu jamaa will destroy everything...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024 Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al...
1 Reactions
3 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…