Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

UPDATE: Tangu kuanza Kushiriki Olympics (1964), Tanzania ilipata Medali 2 tu za Fedha (Silver) kupitia Filbert Bayi na Suleiman Nyambui huko Moscow (1980). Leo Julai 29, 2024, Mcheza Judo Andrew...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? "...
1 Reactions
3 Replies
417 Views
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima. Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
19 Reactions
93 Replies
5K Views
Hapa ni uwazi na ukweli. Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira. Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya bonanza la Jana simba akuchapana na APR,kelele mtaani zimekuwa nyingi Sana kiasi kwamba sisi Wana yanga tunaonekana tumesajili wanaoitwa wazee,lakn napenda kuwaambia simba huu umoja wao...
3 Reactions
6 Replies
701 Views
Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali. Nitaendelea...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids wakisalimiana baada ya kukutana kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa kuzungumza na waandishi wa habari kuekea mechi ya nusu fainali ya Ngao ya...
1 Reactions
1 Replies
482 Views
Timu moja iko imara nyingine inajitafuta, naona kabisa kuna timu inaenda kudhalilishwa hiyo tar 8/08/2024, Nawashauri Tff waifute mechi hii ili ibaki mechi kati ya Azam fc na Coastal Union fc...
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
0 Reactions
8 Replies
848 Views
"Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu...
21 Reactions
71 Replies
5K Views
FADLU: HAWA YANGA HAWATUZIDI CHOCHOTE. "Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi...
3 Reactions
9 Replies
766 Views
Nawaza na kesho watasema Manula na Ayubu kawafungisha tena. Lengo si kuwatisha juzi niliandika goli 4 mpaka saa 10am goli zimefikia 5 ft kwahio Na hapo kuna matatu au 5 bila, 4 moja au 3 mbili...
4 Reactions
9 Replies
744 Views
Sasa ni zamu Wananchi Yanga kuonyesha visu vyao. Jumapili hii Agosti 4 katika dimba la Benjamin Mkapa itakuwa ni kilele ya Wiki ya Mwananchi utambulisho wa wachezaji wa msimu wa 2024/2025...
20 Reactions
2K Replies
80K Views
Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu...
1 Reactions
5 Replies
635 Views
Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
1 Reactions
26 Replies
777 Views
Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Hamissa Mobetto...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
“….mpaka sasa tusubiri kuapishwa” - Mashabiki wa Yanga Kasulu Kigoma wafanya sherehe za ubingwa wa msimu ujao 2024/25 kabla ya kuanza kwa ligi yenyewe….. …..waeleza sababu wakisema hakuna wa...
2 Reactions
16 Replies
790 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…