Hawa wachezaji ndugu viongozi wa Simba wametoka kwenye vilabu vyao wakiwa na mafanikio makubwa sana, mimi hainingii akilini leo striker Steven Mukwala aonekane hana meno wakati alikuwa mfungaji...
Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya...
Agosti 16, 2024
Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni
Agosti 17, 2024
Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni
Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku
Agosti 18, 2024
Kengold FC vs Singida BS 8:00...
Katika jezi za batiki za utopolo zile nyeusi kuna rangi nyeupeeee, nyeupe ni rangi ya simba.
Yanga haijawahi na haina utamaduni wa kuwa na rangi nyekundu wala nyeupe ila hizi batiki za msimu huu...
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki...
Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
Msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu ya England “Premier League” unatarajiwa kuanza leo Agosti 16, 2024 ambapo utaendelea hadi Mei 25, 2025, bingwa mtetezi akiwa ni Manchester City.
Timu ya...
Katika mafanikio ya mchezaji, kuna kuujua mpira ila pia kuna bahati.
Bahati inaweza kukufanya upendwe hata kama mchango wako kwenye timu ni wa kawaida, bahati inaweza kukufanya upendwe na kila...
Michezo ya mwaka 2024 ya Olimpiki imefungwa wiki iliyopita huko Paris, Ufaransa. Tovuti ya maoni ya kisiasa ya Australia “Lulu na Misisimko” hivi majuzi imetoa makala ya uchambuzi ikisema wakati...
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli...
Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango.
Hii inanipa picha...
Kuweka mambo sawa ni kwamba Simba ndiyo waanzilishi wa siku ya club yao (Simba day). Yanga wakaja na Wiki ya Mwananchi ambayo inajumuisha matukio mbalimbali kwa muda wa wiki nzima nakuhitimishwa...
Mashabiki wa Arsenal nchini Kenya leo wamefanya siku yao ya kitaifa ya maombi kuombea mafanikio ya timu hiyo.
Wafuasi hao hufanya maombi kila mwaka ambayo imekuwa desturi, na kwa kawaida...
Hivi karibun hii timu ilishiriki kujinasua kubaki NBC
Ghafla mkuu wa mkoa akahaidi mil 50
Wengi sana wakashangaa kwanini hawakupatiwa wakati wakiwa kwenye ligi wakijipambania
Wamejitahidi...