Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? ''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa...
4 Reactions
32 Replies
12K Views
Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee. kwa mfano : fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe?? a) Mangungu b)...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Itakuwa vigumu sana kuja kuwaaminisha wajukuu zangu kwamba huyu beki alikuwa mbele kabla mzize hajampita na kutoa assist moja kali sana, Na huyo ndiye beki wao tegemezi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..! Yanga itajitupa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hawatoki waarabu Uzi tayari.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimejiuliza sanasanaa Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika. Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Pamoja na kwamba rank za CAF zinaibeba Simba inapokuja mijadala kuhusu hadhi ya Simba, bado kuna watu wamekuwa wanabisha kuhusu hilo. Leo namaliza mjadala huu kwa kusema kuwa katika historia ya...
20 Reactions
130 Replies
7K Views
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba...
14 Reactions
73 Replies
4K Views
Mpo huku mitandaoni mkisema Simba inacheza kombe la Ndondo, mnasema Simba haikuwa na on target hata moja, mnasema Simba ni mbovu sana, ila mko mstari wa mbele kununua tiketi kwenda kuangalia pira...
2 Reactions
8 Replies
692 Views
Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
9 Reactions
130 Replies
9K Views
Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi...
8 Reactions
39 Replies
6K Views
I salute you kinsmen. Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote. Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao...
3 Reactions
2 Replies
425 Views
"Kwa hiyo YANGA walikuja wanajiamini.....wanatupigia mbwembwe ....mwaka huu tunaenda nusuuu kwenye lile kombe la kina mama ( kombe la shirikisho[emoji23]) Sisi tunacheza kombe la wanaume ( club...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke Huyu bwana haamini...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…