Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao...
1 Reactions
10 Replies
715 Views
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k. Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Wengi tunaopita kwenye social media mbali mbali tumeona msemaji wa yanga akinusurika kupata kipigo kwa kujaribu kukamata jezi feki za timu yake na nyingine za Simba. Kwa muda mrefu kumekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I salute you kinsmen..! Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika mashindano ya kimataifa, timu zetu zimekuwa zikishuhudia vitendo vya unyanyasaji na ukatili kutoka kwa wenyeji wao. Angalia timu nyingi ambazo zimekuwa zikinyanyasika kwenye mashindano...
2 Reactions
5 Replies
691 Views
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Kati ya Haji Manara, Ahmed Ally, Ally Kamwe na Zakazakazi/Ibwe, nani hajaonja ladhs ya ubingwa wowote? Nauliza tu
2 Reactions
4 Replies
581 Views
Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe ametuma salamu kwa wapinzani wao Simba SC kwa kusema "Simba jishikilieni tunakuja na balaa tupu" timu hizo zitakutana Septemba 26, 2024. “Sisi sasa hivi...
4 Reactions
12 Replies
823 Views
Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu...
0 Reactions
4 Replies
431 Views
#wadau naomba kujua gharama za TIKETI mechi ya Simba kesho
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila...
2 Reactions
19 Replies
796 Views
Wakuu ...Leo kama kawaida mchambuzi mahiri hapa mjini JF nmekuja na uchambuzi makini ni jinsi Gani Simba itatolewa kwenye kombe la wamama ( shirikisho) 1. Simba bado Haina mshambuliaje wa...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Timu zote za Shirikisho safari hii ni DHAIFU SANA, yenye afadhali ni Simba tu.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? ''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…