Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hili jambo limekaa kiroho zaidi Na Kwa kusisitiza Raisi Wa TFF bora asiwepo uwanjani najua ni ngumu Kwa itifaki ila ukweli ndio huo.
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge. Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake...
0 Reactions
10 Replies
835 Views
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye...
16 Reactions
103 Replies
7K Views
Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana. Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nkane kutoka winga kawa beki Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki Msize haeleweki anacheza namba gani...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari. Wengine...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya. Just imagine, derby ilikufa kabisa. Kila Simba na Yanga zilipokutana, unajua kabisa kolo anaenda kuchezea. Kwa ufupi, aliwafanya ubaya ubwela kuwa kapu la kuvunia...
8 Reactions
12 Replies
834 Views
...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi...
19 Reactions
137 Replies
9K Views
Boban wa pili kushoto. Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ jana alikuwa kivutio kwa mashabiki, wasindikizaji na hata baadhi ya wasafiri waliomuona wakati wakiondoka...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul...
18 Reactions
77 Replies
4K Views
Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Match Day. KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO Mpira ndio unaanza sasa. Updates Game on 05' Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia. Tanzania wanatawala game...
4 Reactions
108 Replies
7K Views
Achana na kina usman, mac gregor au kina Israel adesanya alietembezewa kichapo na Alex kwa mara ya tatu mfululizo. Hili jamaa la kuitwa Jon Jones ni habari nyingine kabisa, kapoteza pambano moja...
1 Reactions
7 Replies
924 Views
Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu. Alipohojiwa na iDisk Times...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…