Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na...
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Wakuu, Kumbe kuna kampeni ya kupata kura za wamasai na hamsemi :BearLaugh: :BearLaugh:! ==== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
0 Reactions
8 Replies
751 Views
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika...
0 Reactions
8 Replies
635 Views
Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10 Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imemteua Raia wa Rwanda, Uwayezu Francois Regis kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu hiyo kuanzia Agosti 1, 2024 baada ya Mkurugenzi aliyekuwepo, Imani Kajula...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Licha ya kuwa mwanzoni mwa msimu huu ilielezwa Kocha Pep Guardiola ataondoka ndani ya Manchester City mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 inadaiwa kuna uwezekano wa Kocha huyo kusaini mkataba mpya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Pep Guardiola has lost five consecutive games for the first time in his managerial career. 🤯 ◉ First defeat: 2-1 vs. Tottenham ◉ Fifth defeat: 0-4 vs. Tottenham It's also the first time he has...
1 Reactions
3 Replies
736 Views
Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba...
2 Reactions
5 Replies
528 Views
Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Kumekucha Ligi Kuu Bara, afisa habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza ameahidi kuvaa wigi la afisa habari wa Tabora United Christina Mwagala, endapo timu hiyo ya mkoani Tabora itashinda...
0 Reactions
3 Replies
612 Views
  • Closed
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata...
12 Reactions
96 Replies
4K Views
Naanza na kunukuu maneno ya Mwanariadha maarufu Nchini, Alphonce Simbu ambayo nimeona JamiiForums.com ilimnukuu wakati anawasili akitokea Paris, Ufaransa alipoenda na Wanamichezo wenzake kushiriki...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa kuwa mwanamama Theresia Dismas ndiye mtanzania wa kwanza kuiletea Tanzania medali ya Fedha kwa mchezo wa kurusha Mkuki mwaka 1965 kwenye mashindano ya All African Games yaliyofanyika...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
I will be short Vipi CEO wa Rwanda yupo wapi? Simba announced there new ceo a Rwandan Where is the new CEO au kawakimbia? Source : Ricardo Momo
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni sehem gani kwa Dar es Salaam hii michezo kaama skateboard, scooter, roller skate au biking inafanyika na kama kuna vikundi, organization na sehem wanako patikana na sehemu ambazo huwa...
0 Reactions
7 Replies
527 Views
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni. Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za...
12 Reactions
59 Replies
3K Views
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…