Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hongera waTanzania, Siku yenu njema! Kama utamaduni wetu wa kushauriana naomba ushauri kwenu wote; hivi nina mdogo wangu miaka 22 huko Marekani leo ni mwezi wa saba amejikita na kujiunga na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
kitendo chako cha kumlazimisha mwanachama wa simba aitwaye msumali aseme amekwenda kwenye klabu ya yanga kuroga ni kujidhalilisha wewe mwenyewe katika zama hizi bado unaabudu kurogwa mchana kweupe...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Leo Bodi ya Ligi wametangaza Maendeleo ya Ligi kuu Tanzania VPL pamoja Na Kutoa Adhabu kwa Vilabu/Wachezaji waliokiuka Sheria na kanuni Za Mpira Hapa Tanzania. Katika Kutoa Adhabu Hizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chelsea Football Club is delighted to announce that John Terry has signed a new contract, extending his stay until the end of the 2015/16 campaign. Since his debut in 1998, the club captain has...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku hizi kuna tabia ya ajabu imezuka sijui inetokana na nini asilimia 95 ya posti za watu wa simba zinaizungumzia yanga iwe fb,jf,twitter ,goOgle,vijiweni,redioni,nk,hawaoni ya timu yao wakiamka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba niulize, Kwanini Tanzania hatuna digital substitution board kwenye viwanja vyetu vya mpira tatizo ni bei au? Matokeo yake tunatumia vibao vilivyopitwa na wakati wakati mwingine hadi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
For me, Maradona cannot approach pele; Facts Pele enabled brazil to win 3 worls cup finals, maradona only one Looking at available grainy pictures of Pele, overall skill cannot compare with...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Tetesi tulizopokea muda huu ni kwamba REY MYSTERIO amefariki. Mkuu aliyekufa ni mwingine aliyepata majeraha wakati anapambana na Rey Mysterio Wrestler Perro Aguayo Jr., aka El Hijo del...
0 Reactions
137 Replies
46K Views
Katika muendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara leo tena pale Taifa mtoto atakuwa hatumwi dukani. Timu ya JKT RUVU itakuwa inaikaribisha timu ya Wananchi wa Tanzania Dar young African (Yanga) pale...
0 Reactions
206 Replies
20K Views
Tony Pulis calls for referee reviews on day of controversy for officials West Brom boss Tony Pulis says managers should be able to appeal against decisions after a day of controversy surrounding...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kuzinunua ligi kuu za Tanzania Bara (VPL) na Uganda (UPL), Kampuni ya Azam Media, leo imenunua rasmi haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKL...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Nataka nifahamu offside huwa inakuwaje? Mchezaji anayeshambulia akiwa peke yake kule mbele? Je asipogusa mpira? Kuna wengine wanasema ukipigiwa mpira na upo juu ukaunganisha shuti hata ukiwa...
0 Reactions
22 Replies
20K Views
Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona, Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama leo asubuhi jijini Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa kirafiki wa Kimataifa siku ya jumapili Machi 29, 2015 dhidi ya timu ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
March 22, 2015 Lusaka, Zambia Zambia National Women team’s dream to qualify for the 2015 Congo Brazzaville all Africa games is in doubt after they lost 4-2 to Tanzania at Nkoloma stadium on...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Baada ya kujarbu mara kadhaa hatimaye nimejizolea mtonyo huu wa elfu 52
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Rais wa Simba Evans Aveva kuagiza benchi la ufundi kuakikisha wanashinda mechi zote zilizobakia , maagizo haya yanaanza kufanyiwa kazi leo baada ya vijana wa msimbazi kuahidi soka safi na...
0 Reactions
171 Replies
19K Views
Ni miaka zaidi ya mitatu timu yetu ya simba haijashiriki mashindano yeyote ya kimataifa. inaona kuifunga yanga pekee ndiyo imemaliza ligi kuu na kuchukua ubingwa. Matokeo ya leo kati ya yanga na...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wanabodi, Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa ambapo droo ya robo fainali ya Uefa Champions League (UCL) inafanyika pale Nyon Uswizi. Droo inatarajiwa kuanza saa 8 mchana kwa masaa ya hapa...
9 Reactions
144 Replies
12K Views
Cristiano Ronaldo may have just won the Ballon d'Or for the second successive year in a row, but has the Real Madrid ace lost his trophy girlfriend? The Portuguese star has reportedly been dumped...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…