Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nadiriki kuwaambia Yanga kuwa imethibitika pasipo shaka kuwa Klabu ya Yanga haina uwezo kabisa ya kufanya vizuri kwenye Mashindano ya Kimataifa.Klabu ya Yangu imeshiriki miaka 2 mfululizo bila...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
MO please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. Kuna viongozi wanatuhujumu. Kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na African Lyon na Prison na tushinde...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mchezaji bora wa soka duniani, Lionel Messi amewaongoza Argenina kuwasambaratisha Colombia kwa mabao 3-0 katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 kwa nchi za Amerika ya Kusini. Katika...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakika TFF sidhani kama wana dhamira ya kuinua soka la Tanzania.TFF in kikundi cha watu wababaishaji waliojipanga kushusha soka la Tanzania kuanzia Timu ya Taifa mpaka Vilabu vyetu huku wakipiga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Unaizungumziaje hii Dili
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Samir Nasri: Guardiola huwataka wachezaji kutofanya mapenzi baada ya saa 6 usiku - BBC Swahili Unadhani Makocha wetu wa Kibongo wakianza kutumia huu mfumo soka letu litaendelea?
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Habari wanamichezo wenzangu Naangalia ufunguzi wa ligi ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 20, mechi ni kati ya Yanga na Kagera Kwa mshangao naona wachezahi wa timu zote umri umezidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KOCHA mpya wa Yanga, George Lwandamina amependekeza wachezaji wawili wasajiliwe dirisha hili dogo, ambao ni kiungo wa ulinzi Mzambia Meshack Chaila na mshambuliaji Mkenya Jesse Were. Chaila na...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kuna Michezo kadhaa ya Kimataifa Kirafiki inachezwa kwa sasa England vs Spain dk 40 England 1 Spain 0 mfungaji Adam lalana(penalt) Italy vs Germany half time 0-0 France vs Code i voire half...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Read this and wondering if it's true, and it's true then is it right because i thought he was doing well Bafana Bafana coach has resigned
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Watu wanajipigia USA na hasira zao zingine za trump,sio kipigo hicho hv bado Klinsmann ndio kocha wao...duuhh 4-0 USA hamna kitu tena,kina Altidore soon wataambiwa warudi kwao Ghana na Trump
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa klabu ya Yanga kuwakaribisha maafande wa Ruvu JKT uwanja wa Uhuru. Mechi hii itaashiria kufungwa rasmi mzunguko wa kwanza, mechi hii ni muhimu kwa klabu...
2 Reactions
143 Replies
18K Views
Timu 3 za kwanza katika msimamo wa ligi. 1. Simba S.C - Pointi 17 2. Stand United - Pointi 16 3. Mtibwa Sugar - Pointi13 Timu iliyoshinda Mechi nyingi. 1. Simba S.C - Mechi 5 2. Stand United -...
11 Reactions
90 Replies
13K Views
Huyu jamaa wa kuitwa Shiza Kichuya ni hatari sana.. Shughuli yake ni pevu sana pindi anapokutana na mabeki wa timu pinzani. Nasikia mabeki wa timu pinzani wakipangiwa kazi ya kumdhibiti Kichuya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
wanajf nawasalimu Naombeni kujuzwa. huu ni mchezo wa aina gani na unachezwaje? naombeni kwa anayeujua anijuze
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu masikini wanamuona MO ndo kila kitu Simba sababu ya akili fupi Lakini huyu Patrick Kahemera ni kichwa now na muhimu kuliko hata huyo Mo na iwapo atasikilizwa basi Simba itafika mbaali saana
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanariadha mwenye ulemavu Oscar Pistorius amehamishiwa katika gereza lenye mazingira rafiki kwaajili ya Walemavu ambako atatumikia na kumalizia kifungo chake cha Miaka 6. Mwanaridha huyo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Baadhi ya knockouts alizowahi kupiga.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Mechi ya Zimbabwe vs Tanzania itakua saa ngapi? Na itarushwa mubashara na vituo gani vya runinga? ======== Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilikuwa na mechi ya Kirafiki na...
0 Reactions
150 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…