Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni...
Manchester United wamemtimua kocha wao Mourinho kwa kufungwa goli 3 kwa 1 na Liverpool.
Lakini Liverpool hao hao wakawafunga Arsenal goli 4 kwa 1 lakini huko Arsenal hakuna mgogoro na wala habari...
Nimekua shabiki wa mziki wa bongo na nje ya bongo kwa muda mrefu ila naona sipati burudan kama wanayoipata mashabiki wa football rasmi nimeamia kwa dhat kwenye football na club zangu nilizochagua...
Baada ya FIFA kuifungia nchi ya Sierra Leone kutokushiriki mashindano yoyote yanayosimamiwa na bodi hiyo ya soka duniania, shirikisho la mpira wa miguu Afrika, CAF limeipiga chini Siera Leone...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea tena leo Disemba 29, 2018 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti. Gumzo ni Simba SC kuwakabili Singida United kwenye Dimba la Taifa jijini Dar...
Mbeya City leo wako nyumbani uwanja Sokoine jijini Mbeya kumenyana na vinara wa ligi kuu vijana wa Jangwani Yanga.
Yanga inasaka record kuwa timu ya kwanza katika ligi ya Tanzania kufikisha...
Hatua ya makundi katika ligi ya Mabingwa Africa inatarajiwa kutoka leo na upangaji wa makundi hayo ukifanyika
Simba SC ndio mwakilishi pekee wa ukanda huu wa Africa Mashariki. Je, atapangwa na...
Kama kawaida wa Kimaitaifa leo tumeshapangiwa group letu lenye timu kutoka Uarabuni moja na Congo moja.
Toa ushauri wako tufanyaje tuweze songa mbele katika hatua ya robo fainali na nusu na kisha...
Kufuatia striker Machachari wa Simba Mganda Emmanuel Okwi kuwa mbioni kutimukia Kaizer Chiefs ya huko Afrika kusini ni wazi kabisa kijana mdogo Walter Bwalya kutoka Nkana Fc ya Zambia ni mbadala...
Goli la mwisho jana lililopolita kwenye tobo anaonekana hana kiwango,au kahongwa na mahasimu wetu.
Huyu dida afukuzwe kabisa shame on him.
Halafu huyu beki mpya nywele rangi ya pilau naye hamna kitu
habari wadau..
mashabiki wachache wa al ahly wakishangilia baada ya kupangiwa mnyongee simba kwenye kundi lao...
hapo ni mazoezini tu bado kwenye mechi
kwa taarifa tu misimu zaidi ya 20...
Kila siku hawaishiwi maneno mala ushindi wanaoupata yanga kwa sasa ni upepo tu umewatembelea,mara ooh Timu mbovu haina kitu,
Lakini kitu kimoja wanashindwa kukijua ni kwamba yanga Haina pesa...
Cheza na Vitu vyote ila siyo Haja Kubwa na ikija huwa haiangalii Wewe ni Baunsa au nani bali ikija yenyewe inachochujua tu ni kutoka nje kwa kupenya kwa njia ya Kasi ya ajabu kabisa na ukisema...
Haya maisha bhana
Timu tajiri nchini juzi juzi ikicheza na timu ya Nkana waliingia uwanjani na basi la abood baada ya basi lao kupata ajali na kuharibika ambapo mpaka mida hii wameshindwa...
Mwenendo wa Yanga katika ligi kuu Tanzania inawatesa sana mashabiki hasa wa Simba ambao wamekuwa wakiibeza timu yetu,ambayo imekuwa ikiendeshwa kwa asilimia kubwa na michango ya wadau wa Yanga...