Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Pogba kutaka kuondoka Manchester United sio tatizo. Ila tatizo ni kumtafuta mbadala wake. Kweli?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi. Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu...
12 Reactions
73 Replies
9K Views
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo...
13 Reactions
73 Replies
11K Views
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba. Unajua...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za wakati huu! Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua...
12 Reactions
20 Replies
4K Views
Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa YANGA.. HUU ndio Utani wa Jadi.. MPIRA SIO UADUI.. SIMBA NA YANGA ni Ndugu
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Inajulikana duniani kote kuwa mkataba wa ajira ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba unaweza kuwa wa maandishi au pia wa maneno tu iwapo pande mbili zitaafikiana. Manara...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba SC Pamoja na msemaji wao lopo lopo asie na weledi Haji Manara wamegundua kua tambo zao hua zinawapa morali na kubusti hari ya upambanaji kwa wachejibwa Yanga kwenye Derby. Mara...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imemchagua Barbara Gonzalez Kuwa Afisa mtendaji Mkuu wa klabu hiyo. Barbara amechaguliwa na bodi ya wakurugenzi ya Simba,anachukua nafasi iliyoachwa wazi na...
5 Reactions
355 Replies
42K Views
Kwa matokeo ya mechi za juzi pale Zanzibar yamkini mfungaji bora akawa yupo Zanzibar lakini hatujui! Nawashauri ZFA watunze kumbukumbu vyema ikiwezekana wainggie mikataba na Azam Tv mpira wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Simba huyu mwalimu/msemaji atawafaa sana ikiwa mtaamua kuachana na Haji,huyu ni muhamasishaji nguli na huenda akawa hana gharama kubwa zaidi ya mshahara wa wastani na kumnunulia simu 6 za smart...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Haji Sunday Manara ameishi Simba kwa kudra ila sio kwa sifa na weledi. Kwenye eneo la weledi tumuache mkurugenzi mtendaji mwanamke Barbara afanye kazi na apange safu kwa ustawi wa Simba. Haji...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Manara kama mwajiriwa anawajibika kufuata sheria za kazi kwa mapana yake. Lakini hili la kuanza kutukana mkuu wake wa kazi hadharani kwenye mambo ya kazi na tena kwa ushahidi kabisa! Hilo ni kosa...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Nashauri uongozi wa Yanga, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wa Yanga tusije kubweteka na mpasuko uliojitokeza Simba kwa maneno ya Haji Manara yanayosambazwa mitandaoni na kuacha kujipanga...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji, hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama Simba labda Ndondo Cup, huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na...
9 Reactions
72 Replies
10K Views
Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
MAONI YANGU JUU YA AUDIO CLIP YA MANARA ni kama ifuatavyo Regardless kama tuhuma anazotuhumu Manara kwamba kufedheheshwa, kunyanyaswa and the like ni za kweli au la! Kitendo alichokifanya cha...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ila duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki...
5 Reactions
70 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…