Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mashindano ya CAF na yale ya FIFA waamuzi wetu wa soka huwa hawachaguliwi kuchezesha mechi. Je, kwenye haya mashindano ya CECAFA yanayofanyika nchini wamebahatika?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukitafakari sana mambo ya yanga yanaumiza sana. Mpaka lini itakuwa kichwa mwendawazimu? Huyu Ajib safari ndiyo atajituma kikamilifu kuliko nyakati za nyuma,viongozi was yanga kimewavutia nini kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hizi tabia za kitanzania na za kihuni kuwa huwezi ondoka kwenye taasisi kimya bila kusema mabaya ni malezi ya ajabu sana. Mimi ni mwana yanga kindakindaki lakini alchofanya manara na alichofanya...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake wa twita, Zitto Kabwe ameomba Klabu ya Simba iweke wazi mchakato mzima wa kumpata mtengeza jezi aliyeshinda Ndugu Fred Vunjabei. My take: Namuunga mkono Zitto kwenye hili...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaam. Kufuatia usajili uliofanywa na Simba SC wa kumchukua winga fundi toka Malawi, Banda, naziona siku za Miq kuendelea kubakia Msimbazi zimefika mwisho. Tetesi zinasema Simba SC...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kurudi kazini uongozi wa Simba, uliokuwa bize kwa ajili ya fainali kombe la Shirikisho (ASFC) na kubeba taji hilo mbele ya Yanga wamekutana na email iliyotoka Al Ahly ambayo imeeleza...
11 Reactions
26 Replies
5K Views
Namaanisha kuwa simba ni Timu kubwa kubwa tena kubwa Sana Kama mafanikio yalianza kuwa zamanii Mashabiki wa simba wanahitaji Timu nzuri wachezaji wazuri na vikombe vingi Simba ilishafanikiwa...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimesikia kuwa National ya Misri imeshamchukua Chinga Boy kwenda kucheza kwa mabingwa hao wa Afrika. Simba wasipoteze muda watoe Bilioni 1 wamchukue kiungo wa Yanga Feisal. Huyu ni mchezaji wa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tanzania Malaika Mihambo, amelishindia taifa lake medali ya dhahabu katika mashindano ya michezo ya Olimpiki ya long Jump. Mwanaridha huyo aliruka urefu wa...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Hizi TZS 300m anapewa nani? Swali la jumla: nani anamiliki rights za mechi kutangazwa? TFF, League Board, au timu? Nani ana haki ya kuziuza? Kama timu hazina rights, je zina nafasi kuamua nani...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiangalia haya mataifa yetu ya Afrika, Congo ni moja ya taifa lenye watu wanaojua kujiwekea malengo makubwa,kuyapigania ili wajigambe nayo. Uganda na Kenya pia kuna watu wa aina hii,ingawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati mwingine kuna ujinga na upumbavu unaletwa na mihemko hasa ya wachambuzi wa michezo ambao mimi sijawahi kuwaekewa kabisa hapa nchini. Hizi sifa za Banda ni kama zimetiwa chumvi mno. Kama...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamani wanamichezo wenzangu hapa Tanzania michezo ya Olympic inaendelea huko Japan swali langu mbona watanzania sijawaona kwenye hiyo michezo?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna video wala taarifa inayoonyesha kuwa kuwapima utimamu wa mwili na akili vinafanyika kabla wachezaji kupewa mikataba ya kuvichezea vilabu. Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo, kila mchezaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki! Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakika huyu jamaa ni mtu na nusu, msimu ujao itakuwa kipimo cha umri kwa baadhi ya mabeki wa timu zetu plus Kisinda Basi hapo mikia watanuna
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni chaneli gani zinazoonyesha michezo ya Olympic live?
0 Reactions
9 Replies
896 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…