Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MASHINDANO YA KIPANGA CUP YAHITIMISHWA WILAYANI MAFIA ▫️Timu ya Big Time yaibuka kidedea ▫️Yatoka na zawadi ya Bajaji Mafia, PWANI Mashindano ya mpira wa miguu ya Kipanga Cup yamefikia tamati...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5. Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup Hata hivyo...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na kwamba Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa ulimwenguni. Basi zifuatazo ni siri za mafanikio yake kwenye game na sisi tunaweza kuziapply kwenye maisha yetu na fani...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana usiku nilishuhudia pambano baina ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka DRC Congo. Kwa kweli Twaha alipambana kiume na akaweza kumshinda kwa alama(points). Kwa Tanzania ya sasa hakuna bondia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa tunaowajua Yanga SC wanafanya nini sasa ( hasa katika Kamati yao Kali ya Kiufundi ) kwa Kuwaruhusu Kwenu tu huku Kucheza Mechi yao ya Kirafiki na Timu ya Mafunzo ya Kisiwani Zanzibar tayari...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaweza kusema huyu ndio mchezaji "Mtakatifu" kuliko wote.
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Inasemekana sisqo anajua Draft kuliko Yasini maana Sisco anamfungaga sana Yasini, inatakiwa waandaliwe pambano Sisco vs yasini, au Hao wawili walishashindanishwaga baada Yasini kuchukua java cup...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
SERIKALI imesema ina imani na bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ kuwa atafanya vizuri katika pambano lake lijalo la kimataifa dhidi ya bondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Alex Kabangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jambo ndugu zangu, Nauliza hakuna system nyingine ya kucheki live league ya TV online tofauti na azam TV Max kwa wale ambao wako nje ya Tanzania? Maana huu mtandao wa azam mbona nashindwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana jf natumaini hamjambo. Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza, wanayanga nao ni wanufaika wakubwa wa mechi za simba vs wageni kutokana na sababu zifuatazo ; 1.simba inapocheza na timu za nje...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
. Katika mechi 5 za World Cup Qualifiers Africa 3 tarehe 29 Mwezi Machi Waarabu wa 3 watakuwa Nyumbani . Hakuna mwarabu aliyepoteza mechi katika first leg. DRC 1 Morocco 1 . Senegal 0 Egypt 1 ...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama sikosei mfumo wa uendeshaji wa ligi ya mabingwa barani Afrika na ule wa kombe la shirikisho katika mtindo wa makundi ulianza mwaka 1998 Tanzania ikiwakilishwa na Yanga. Ninachokikumbuka...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO Tarehe 24/3/2022, DODOMA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari niliyoiona live bila chenga usiku wa jana..... niliota Mayele akiwa amevaa uzi mwekundu ulioandikwa NGUVU MOJA... aisee niliruka juu, ile naruka kumbe niko kitandani, sema tu mkewangu...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana Simba wamecheza kwa kutumia uwezo wao kama wao na ki uhalisia walitakiwa wacheze game zao zote kwa style ile ili kujua uwezo halisi wa timu na zaidi kujua timu inapwaya wapi, tofauti na...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Jadon Malik Sancho (born 25 March 2000) is an English professional footballer who plays as a winger for Premier League club Manchester United and the England national team. He is known for his...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
MECHI YA STARS NA BOTSWANA YAOTA MBAWA Chama cha soka cha Botswana (BFA) kimetoa taarifa rasmi ya kuifuta mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania iliyokuwa ifanyike Machi 26. 𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…