LICHA YA KUWA NA UDHAMINI MZURI WA BENKI YA NBC NA WADHAMINI WENGINE.
Lakini mbona bado hatuipati radha halisi ya mpira hususa ni kwa hizi timu zetu ambazo tunategemea zifanye mapinduzi
Nini...
Nawapa ongera Utopolo kuweza kufanya vizuri kwa msimu huu wa ligi.
Mlikuwa na vizingiti vingi kwa awamu ya 5 ambapo sisi tulitamba tutabeba ubingwa mfulilizo kwa miaka 10 sababu tuliamini...
Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana walipomwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu.
Ujumbe huo...
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.
Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park...
Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo...
Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji...
Baada ya jana Raja Casablanca kunyolewa japo sikupenda,na pia Es Tunis kunyolewa sasa naona kuna kila dalili ya mamelodi kunyolewa leo maana hadi sasa 0-0 halftime,aggregate 2:1,na sioni dalili...
Timu zilizokumbana na mtetemo wa Mayele Tanzania .
Nikianza kutaja
1.Simba sports club hii ilikua ngao ya jamii ndio Mayele alipotambulishia style yake.
2. Azam hapa mwamba alitetema kwa bonge...
TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie.
Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila...
Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale.
Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula...
Stadium: Emirates
Mpaka sasa Arsenal 3, Manchester United 1.
= ==================
UPDATES: Coming Soon
78' mambo bado ni yaleyale.
Yellow Card😂: 4 kwa Man Utd; 3 kwa Arsenal.
(90+)'.
Goals...
Staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametangaza kufiwa na mtoto wake wa kiume jioni ya leo Jumatatu Aprili 18, 2022.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ronaldo amesema mtoto huyo wa kiume...
Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu.
Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya...
Yeye na timu yake kina Mwakitalima mnastahili pongezi.
Kwanza umeunganisha matawi ya Simba na umeacha kujiona boss. Pia umewafanya wanazi wa Simba kina Mwakitalima, Mzee wa Pass milioni, Aggy na...
Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo.
Julio ameongeza kuwa...
Huyu kocha Kwa kauli hii anaonekana kabisa anaipambania Simba iwe bingwa na sio timu yake.
Hii inatoa mashaka kama kweli siku timu yake itakapocheza na Simba hataihujumu timu yake
Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua...
"Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba...