Wakuu kwa yeyote mwenye kufahamu sababu iliyofanya Azam Fc kuwa timu pekee kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki kuanzia round ya kwanza kombe la shirikisho, ilhali hata Simba ambaye wachambuzi...
Wadau hii nimeipata mahala nimeona ina make sense.
Kuhusu uwepo wa mashindano ya CAF Super league yatakayoanza mwakani 2023. CAF watachagua timu tatu kutoka kanda zake tano kuwakilisha kwenye...
Sisi yanga tupo sawa sawa na Vladimir Poutine.
Hatuna shobo kama wenzetu
Yaani wao kualikwa kwenye kikao cha caf apo jana imekuwa story kubwa sijui simba kubwa sijui simba hivi.
Sijui yanga ni...
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA...
Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Patrice Motsepe, ametangaza kuanza kwa African Super League ambayo itakua na zawadi ya Tsh. Bilioni 233.2
Ni utekelezaji wa pendekezo la Rais wa FIFA, Gianni...
HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga".
Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira...
Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.
Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo...
Salaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.
Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi...
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu.
Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya...
Habari wakuu,
Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya...
Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua.
Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya...
Ndugu zangu naona vijembe vya wanayanga huku list wanayotumia ni ya yuleyule mbaya wao Micky jnr wa Ghana ambaye ndiye pekee hadi sasa aliyepost teams kumi.
CAF hawajatoa list wamesema watatoa...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji
Chicharito, 34...
HaABARI WAKUU.
Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk.
Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA...