Nina taarifa kwamba Arta Solar 7 ya Djibout iliwasilisha maombi ya kucheza mechi za kirafiki na Simba, Yanga na Azam. Club za Simba na Azam zilifurahishwa na maombi hayo na kuyakubali kama sehemu...
Yanga wanajiona kucheza mechi ya kirafiki na KMC ndio wamefanya maandalizi ya maana, kwao mechi za kirafiki za kimataifa hazina msaada na hazina tija, ila sawa, time will tell, nyie jioneni mnajua...
Salaam wana jf
Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na...
TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya.
Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali...
Nilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale
Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana...
Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo.
Sababu ya hali hiyo ni kuwa...
Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa...
Kama nilivyo sema kwenye post zangu za nyuma apo yanga sisi ni kama Vladimir putin
Tuna kupiga kimia kimia bila kujua
Sasa hivi makolo bado wanatuona kama mazezeta fulani hivi eti kimataifa ao ni...
Mandonga amekuja na kauli mbiu kwa game inayokuja mwezi ujao.
Sea never dry ,man don't cry.
Ameelezea zaidi atakayekutana naye "atapigwa kama ngoma refa akizembea kidogo tu anakuta mtu amekufa...
Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa...
Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022
Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba...
Habari za leo.
Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi...
Siku moja baada ya Timu ya taifa ya Tanzania kufungwa goli 1-0 dhidi ya Uganda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kumuondoa Kocha wa Tanzania, Kim Poulsen kwenye benchi la Ufundi...
Kwa kawaida sisi wana Simba hatunaga akili mbovu kama hawa wenzetu vinyesi fc, imekua kero mitaani ukibishana nao kidogo tu wanakumbushia tobo alilopigwa zimbwe kana kwamba ni kitu cha ajabu sana...
Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England...