Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye...
Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa...
Yes Matola amekuwa kocha msaidizi muda sasa! Ili Simba ibadilike inahitaji kocha msaidizi mwingine ili kuja na mawazo mapya
MATOLA hana mbinu za kumsaidia mwl refer mechi ya YANGA vs SIMBA...
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their...
Naam yeye mwenyewe Kisubi alipokuwa simba alinyoroshwa vizuri sana na watu wa moro hadi akaomba poo, sasa huyu jamaa toka nchini Mali anajifanya mjanja siyo? Anayoroshwa huko na watu haohao wa...
BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya
Inasemekana posho zimepunguzwa...
Katika Fainali za Kombe la Dunia 1994, kikosi cha Colombia kikiwa na wachezaji mahiri kama akina Faustino Aspirilla, kilitolewa hatua za mwanzo bila matarajio ya wengi baada ya kufungwa 2-1 na...
Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu!
Unakuta mtu anamchukia Matola!
Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu!
Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo...
Wakuu,
Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima...
Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo 07/ 09/ 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakiwasha dhidi ya KMC FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.
Hii...
Nafikiri kuna point muhimu wanayo mashabiki na wanachama wa simba nayo ni namna timu inavyoperform uwanjani.
Wanachezaje, je wanakosa matokeo dhidi ya timu ya aina gani, ni hoja ya msingi sana...
Nasema SSC inapwaya sana na sijui inaenda kucheza vipi michuano ya KIMATAIFA hivi punde.
Mechi kama hizi ndiyo mechi za kuondoka na ushindi maana huko mbeleni ligi inakuwaga ngumu. Kuna timu kama...
Mmeona wenyewe jana hata baada ya poor display na officialy kugeuka kuwa wateja wa utopolo fc kwenye kupokea medali wengine walivyokuwa wanachekacheka kama NDALAKYUYA
Hawana cha kupoteza hao...
Nimeamka hapa naona statement ya Simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya CAF.
Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka. Lakini hizo...
Klabu ya Simba imeachana na kocha wake mkuu Zoran Maki, akiwa ameifundisha timu hiyo kwa siku 67 pekee. Awali Zoran aliingia mkataba wa mwaka mmoja na Simba ambapo leo wamefikia makubaliano ya...
Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu
Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya...