Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu.
Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
Hii ni serious debate niliikuta kwenye kijiwe cha kahawa. Kina mwamnyeto watachomoka kwa opa?
Kina Kibwana watamuweza Aisha?
Kina mayele wazee wa kuruka ruka watamuona Gelwa? Kina aziz Ki na kina...
Wakuu habari zenu?
Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani.
Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani...
Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata...
Mimi sio chizi au pumbavu ambaye nilisema tukubali jina la wala mihogo, maana naona jina hilo linakuja na bahati, nlitukanwa sana. Mmeona matokeo!
Sisi ndiyo wala mihogo!
Leo Yanga watatinga makundi kwa ushindi wa sare ya goli moja kwa moja.
Yanga wataingia makundi usiku wa leo na hakuna atakae amini !! licha ya vitimbi vya hapa na pale lakini yanga leo wanaingia...
Imeisha hiyo
Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.
Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo...
Ninasikitika kusema kwamba huyu jamaa nilimchukia na kufikia mahali kumwombea Mayele achukue kiatu ijapo mimi si mpenzi wala mihogo.
Unaweza kujiuliza kwa nini nilifikia kumchukia huyu jamaa...
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia...
Mechi ya Simba na Yanga imechezwa tarehe 23-10-2022, Chama na Azizi walifanya makosa yaliyopelekea kufungiwa mechi tatu. Bodi ya Ligi imetoa hukumu jana tarehe 8-11-2022 takribani siku 17 baada ya...
Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu.
Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji.
1...
Hakuna anayependa kufa lakini kuna baadhi ya wagonjwa wanafikia kusema "Heri nife kuliko mateso haya", ndivyo ilivyo kwa wanayanga.
Wako tayari kwa matokeo yoyote ilimradi ichezwe, ipite, wawaze...
Ikiwa yamebaki masaa machache kabla ya mechi ya marudiano na club Africain pale Tunis, TFF imetoa taarifa ya matukio ya mechi zilizopita baada ya kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya...
Anaandika Eddoh Kumwembe,
Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima?
Upuuzi kwa waliotunga...
Kupanga ni kuchagua.
Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep...
Wakuu, huu ni ushauri wangu kwa timu yangu ya Yanga ila sijui kama huu ushauri utawafikia viongozi wa juu Yanga, kwamba:
Yanga wakifunguka wamekwisha panga iwe kucheza 'defensive with counter...
Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa.
Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana...
Mzuka Wanajamvi!
Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel...
"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini"
Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma.
My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa...