Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimezoea kuona makala ndefu za voice of voice less twitani na insta, lakini mpaka sasa sijaona andiko lolote hata like la pu..eto. kulikoni? Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Japo kila mmoja ana haki ya kushabikia timu yoyote aipendayo na ana haki ya kujivunia timu aipendayo ila ukweli lazima usemwe. Simba ndio standard ya mpira wetu Tanzania. Timu zingine zote...
2 Reactions
8 Replies
539 Views
Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga...
32 Reactions
56 Replies
6K Views
"Tangu aondoke Kocha wa Viungo wa zamani Simba tumekaa muda kidogo bila Kocha mpya wa Viungo, niwaambie wana Simba hii Wiki haiishii tutamleta Kocha mpya wa Viungo" Ahmed Ally
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tushukuru wawekezaji kwenye swala zima la mpira wa ligi yetu ya ndani hebu angalia hiki kiatu alichovaa PAPE NDAU no 25 mgongoni mchezaji wa simba ndicho kilicho tumika kwenye mechi ya Kariakoo...
0 Reactions
3 Replies
683 Views
[emoji1033] Aguero: Hat-trick 12 kwenye Premier League ndani ya miaka 10. [emoji1200] Lewandowski: Hat-trick 14 kwenye Bundesliga ndani ya miaka 14. [emoji1033] Messi: Hat-trick 36 kwenye La...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Wadau wa kubet world cup ndo hiyo yaja. Nataka niweke mkeka wa maana ni kampuni gani ya kubet ina bonus na ofa nzuri kwa wateja wake
0 Reactions
2 Replies
912 Views
FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 80' Simba wanapambana lakini mambo yanakuwa magumu 78' Simba wapo nyuma kwa goli moja 60' Ngoma bado ngumu Kipindi cha pili kimeanza MAPUMZIKO...
19 Reactions
181 Replies
13K Views
Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa...
1 Reactions
9 Replies
878 Views
Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti...
7 Reactions
9 Replies
944 Views
Na Godian Method Kombe la Dunia ndiyo michuano mikubwa zaidi ya kimataifa katika mpira wa miguu, ambapo watu, Sanaa na tamaduni za mataifa mbalimbali huungana.Michuano hii ya soka, hudumu kwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jana nimeona mashabiki chawa wote wa Simba waliamua kufunguka dhidi ya uongozi wa timu yetu ambayo wanajifanya kutia pamba masikioni, tulianza kuwaambia viongozi since day walipoanza kufanya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kweli kama alivyosema mwenzangu humu jf, Leo ndio ile cku ya kuvunja unbeaten record ya yanga, kwa kweli hata cjui kwann kagera sugar walimrudisha Mexime, timu inacheza weeee lkn haina mipango...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0...
1 Reactions
4 Replies
923 Views
Je, ilikuwa ni lazima Yanga icheze na Kagera sugar jumapili mwanza? Kwanini mechi isingesogezwa hata kwa siku mbili?
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya game na Singida nimetafakari mengi juu ya hawa ndugu zetu ambao karibu wiki nzima hii wamekua wakituzomea yanga kuwa safari yetu shirikisho inaenda kuisha leo. Ni lweli mpira una matokeo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni wivu tuu.. Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto? Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about...
16 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau wa soka mpo vyema Mimi kama msemaji wa Azam jamiiforum nawaambi uku kileleni mwa msimamo Kuna baridi sana. Kama itawapendeza kagera leo fanyeni kitu kwa yanga ili tuendeles kusalia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…