Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino...
Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango...
Wakuu,
Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣.
Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za...
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni...
Mgeni rasmi kwa niaba ya Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Maxwell Stanslaus akiongea kwenye hafla ya ugawaji wa jezi kwa timu 8 zilizofanikiwa kutinga hatua ya Mabula Super 8 Ligi ya Wilaya ya...
Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la...
Katika hatua ya fainali mechi mtakayoshinda, goli moja, goli la mama ni shilingi milioni 30” maneno ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa...
KISHINDO CHA FAINALI JIMBO CUP, MBUNGE SAMIZI AWAOMBA WANANCHI KUIUNGA MKONO CCM NA WAGOMBEA WAKE
Wananchi wamshukuru Mbunge Samizi kwa alivyo mstari wa mbele kwa michezo na maendeleo.
Mhe...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo...
Wakuu
Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu...
Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup.
Kupata taarifa na matukio...
Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe...
Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan.
Timu hiyo ilionesha ubora wake...
Wakuu
Machawa wa Samia hawapoi
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi...
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.