Halafu Unajiona Umekula Chakula Cha Nguvu wakati hata Kwenye Balance Diet hakipo... Kweli Dagaa Wakuhesabu na Kachumbari na Ugali wa Mtoto... Halafu hata Haumwi ni Mzima Wa Afya Kabisa
Mnatia...
Hapo Mume wake chadema anakunywa pombe au anachati na JF kumtetea fisadi lowasa halafu akirudi nyumbani anauliza chakula na maji ya kuoga bafuni tena ya moto, kikichelewa, kipondo cha mbwa mwizi...
Mwanamke aliyekaa siku nzima kwenye Jeneza ili kupata uzoefu wa kifo.
onNovember 5, 2016
Imetokea Brazil na Mwanamke mwenyewe anaitwa Vera Lucia da Silva na umri wake ni miaka 44 ambapo aliamua...