Ulaya na Marekani, unaweza kununua soda katika vending machine.
Japan, wanauza vitu vingi zaidi kwa kutumia vending machine.
Haihitaji msaidizi, hamna wizi.
Vending machine ya kuuza soda. (USA)...
Jiandaeni kutoboa mifuko,hichi kitu kinatoka kati ya septemba au agosti mwaka huu ,,na inasemekana itakua ya gharama sana kuliko matoleo mengine ambayo samsung wametoa ikiwamo samsung galaxy note...