Vijana msiache huyu binti azeeke na ufundi wake, hebu muwahini mfaidi huo ufundi. Binti anasikitika anazeeka na utam wake haujatumika kabisa. Kazi kwenu.
Nafikiri walikuwa kwenye Chorus wimbo wa Dada Remy Enzi za Shem Kalenga, Baby kaamua kutoa na viatu kabisa utamu ukanoga ili kusakata Rumba sawasawa na Husband wake - kweii UJANA maji ya moto -...