Yaani huyo alofunga hiko ki-Vespa alikuwa na uwezo wa kufanya ubinadamu tu kwa kukisogeza pembeni ktk sehemu inayoruhusiwa na kuendelea na shughuli nyengine but kwa7bu ana njaa kazi yakufanya hana...
Wacheki Joto City girlz
Mabushstar endeleeni kukaa maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
NB
Thread...